Kenya na Ethiopia ndio nchi zilizotumia pesa nyingi kujihami mwaka 2019

Kenya na Ethiopia ndio nchi zilizotumia pesa nyingi kujihami mwaka 2019

unakumbuka vita vyenu na Iddi Amin? TPDF ground forces walipiga na kuangusha ndege za TPDF air force ..
Jaribu kuangalia hizo errors na nyakati zilivyotokea....kulikuwa na shida ya mawasiliano wale wanajeshi walioangusha ndege za tpdf hawakutaarifiwa kwa wakati ...wao walikuwa wamejiandaa ndege yoyote itakayoruka ni ya jeshi LA amin ndo maana ikatokea error hyo na ilikuwa 1980's sio kama sasa teknolojia ya mawasiliano imerahisishwa kirahisi
 
The PHL-03 is very different , A-100 MRL is the shit they export to poor countries...
and by the way only TZ is using the A-100 MRL from China, The Pakistanis have bought right to modify and manufacture in their own Nation...

That shit was only sold to TZ.. the way it's cheap, if it was a high quality system, most developing nations would have it.
It failed the Chinese tests for accuracy and reliability . Its carries too much fuel and leaves little room for the war-head, this design flaw affected most early Chinese Missiles.
Mkuu A-100 ni accurate sana.
Ila wachina walitest kati ya PHLna A100
Wakaselect PHL wao ndo wakaiona ni Bora zaidi , ila sio kwamba haifanyi kazi inafanya kazi.
 
In case of war btwn Kenya and TZ, these will offer the ground support...
your MRLs and artillery batteries will be wiped out by these.. Kenya has 46 of them,,,

View attachment 1412361

And these

View attachment 1412362

We have a combined 50 attack and light attack helicopters... TZ has none...

hata border hamtavuka... and this is just air support
Sasa mkuu helicopter kama HIZO utampiga nazo nani. Kwenye uwanji wa vita vinapigwa tuu kirahisi na manpad
 
Hizo
Kuna helicopter yeyote hata nzi anaweza penya.
Taja majina ya hizo helicopters unazozisema.
Hvyo videge vyenu vinadunguliwa na mishale ya wamasai, kabla TPDF haijafanya chochote.

When I say you have a weak army ninamaanisha.

Mpaka sasa unatoa maneno matupu bila kuonesha what you have.

Your helicopters are just police patrol not military weapons.

Jitahidi kuja kivingine. We have already owned you in all aspects.
Hizo helicopter zinaangaushwa na manpad
 
I told you wewe hujui kitu. Unaongea maneno meeengi. Mimi nipo na A-100 what do you have!?

Wewe utaweza respond back kwa kutumia nini!?

If you use ur fighter jet, I force you down by
SA.
Hapa tunaongea kati ya kenya na Tanzania.
Not imagination na maneno mengi

Let talk head to head. Wacha maneno mengi.

You have only 12 BM-21 we have more than 100
Your artillery fire one per 10 seconds. And you have only 6 Nora-B 52.

hebu niambie you are head to head with Tanzania what you gonna do!?
Sasa hivi wako Congo wanatalii tu..hakuna wafanyacho
 
Somalia ambayo ni nyoko hata kwa Marekani.
Nani kakwambia Somalia ni nyoko Kwa USA???
USA alikua na mission ya kumuua Farah Aidid akamuua japo alichokosea mpk akapoteza wanajeshi wengi ni kuja na jeshi dogo Somalia.
Ila walikamilisha mission.
Ila ninyi daily ALSHABAB daily wanawapakata kwenu.
 
self propelled artillery 2S7 Pion
Sina UHAKIKA kama kenya mnazo hizi.
Hizo zinatengenezwa urusi na sasa hivi SIZANI kama zinatengenezwa.
Na kipindi kile walikuwa WANAgawa kwa wasirika wao wa communist kwa Africa WALIPEWA Angola tuu.
Kama mnazo basi mmenunua Mutumba sijui kutoka wapi.
 
Back
Top Bottom