John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,207
- 2,593
Jaribu kuangalia hizo errors na nyakati zilivyotokea....kulikuwa na shida ya mawasiliano wale wanajeshi walioangusha ndege za tpdf hawakutaarifiwa kwa wakati ...wao walikuwa wamejiandaa ndege yoyote itakayoruka ni ya jeshi LA amin ndo maana ikatokea error hyo na ilikuwa 1980's sio kama sasa teknolojia ya mawasiliano imerahisishwa kirahisiunakumbuka vita vyenu na Iddi Amin? TPDF ground forces walipiga na kuangusha ndege za TPDF air force ..