Kenya na Ethiopia ndio nchi zilizotumia pesa nyingi kujihami mwaka 2019

Mozambique terrorist bado wanaendelea tu kuzingua hadi leo. Hamna jambo lolote la maana mlichofanya.
 
Mozambique terrorist bado wanaendelea tu kuzingua hadi leo. Hamna jambo lolote la maana mlichofanya.
Hakuna terrosists Mozambique.
Niwahuni wachache tu walioshindwa kufanya kazi AKA vibaka wenye silaha
 
Pwahahaha!!! Mbona unajifungia kama panya kaona paka.
Show me your weapon.πŸ˜€πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Bro I understand how various weapon systems work am not like you hata hujui difference Kati ya Operational na firing range.πŸ˜‚πŸ˜‚

The Rocket launchers you are showing can only be used against sitting ducks.I.e can only be used to attack specific places at a specific time. They would be very ineffective when facing a mobile opponent. Which is the nature of morden warfare.
 
Unafanya kitu unachohitaji na sio unacho pangiwa,ninyi mmepangiwa kuwafungia wananchi wenu na wazungu matokeo yake wanaishi maisha ya shida kuliko shida yenyewe(corona). Tuko vizuri kijeshi hivyo hakuna ulazima wa kununua hayo madude kwa sasa. By the way vipi issue ya Alshabab mmefikia wapi jirani?

macson
 
Sasa unadhani ni Tanzania pekee yenye SAMs .?...... Technically speaking some manpads can perform better than this .The only difference is that it is tracked.Making it bulk thus easily recognized by even small spy drones.
Pwahahaha!!! Hizo zinaitwa unaficha aibu.
Your birds never pass through TZ air.
Tutawasagasaga kama sisimizi.
 
these weapons are mostly defensive weapons and cannot determine the outcome of a conflict because you have very few of them....
Our Army is called Tanzania People's Defense Force (TPDF) We defense our land we don't attack anyone for no reason.
Thank you for complement
 
Tanzania kapigana Uganda akashinda, Tanzania kapigana vita vya ukombozi kuanzia zimbabwe, msumbiji, Angola na kote alishinda


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tanzania kazima mapinduzi mengi ikiwamo Burundi, comoro


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tanzania kwenye medani usilinganishe na Kenya


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kenya mnawashindwa Alshabaab wanawauwa kama kuku kila wakitaka bado uje kwetu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tanzania kapigana Uganda akashinda, Tanzania kapigana vita vya ukombozi kuanzia zimbabwe, msumbiji, Angola na kote alishinda


Sent from my iPhone using JamiiForums
when is the last time a TZ air force pilot fired against any target even for exercise purposes???

then those chipsi karai men in TPDF fight against this...
 
Shemegi zangu mnamatatizo sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Utajulia wapi wakati wewe upo usingizini umelala huku unakoroma.

ha ha do you know how to read, this is a PHL-03 based on the russian BM-30 ,
the Chinese don't use the shitty
A-100 MRL that TZ is using...

The PHL-03 is very different from the A-100 MRL,
hata wachina wenyewe hawaitumii A-100 MRL kaka, na imetengenezewa UChina....tafakari hayo
 
That why nimekuambia hujui kitu wewe ni mbumbumbu.
Both PHL-03 and A-100 developed from BM-30 smerch
We have already have it.
Unachukua tu taarifa bila kufanya ucunguzi.
PHL-03 developed for Domestic usage.
Leta MRLs zenu tuzione
 
Pwahahaha!!! Hizo zinaitwa unaficha aibu.
Your birds never pass through TZ air.
Tutawasagasaga kama sisimizi.
Hahaa nivenye sitaki kukupea pressure mailnly you have SA 3 and SA 6 for airdefence .

Below are all your air defense sites with pin point coordinates.πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Hahaa nivenye sitaki kukupea pressure mailnly you have SA 3 and SA 6 for airdefence .

Below are all your air defense sites with pin point coordinates.πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 1411691
View attachment 1411693
Yaani unachekesha sana. Unajiona ndio unajua.
First: Information about SAM SA-3 ni za zamani sana. Tanzania used it long long time ago.
Hiyo Riport uliyoiweka hapo ni either 70s
Na kuhusu Tanzania kumiliki S-3 and S-6 all those information are in Public Website na wala siyo siri.

Try again labda utafanikiwa.
By the way We are talking about BM not SAM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…