Tetesi: Kenya na Rwanda kujiunga jumuiya ya NATO

Tetesi: Kenya na Rwanda kujiunga jumuiya ya NATO

Kenya wamepata status ya kuwa major non-NATO ally

Kenya ni nchi ya nne Africa kupata hiyo status kuna Egypt, Morocco na Tunisia zilitangulia

Ila ni ya kwanza kwa nchi za Sub-Saharan

Hizi mambo zimekaa ki-geopolitics, Marekani anaogopa ushawishi wa China (The Belt and Road Initiative) na BRICS barani Africa
 
Ziara ya Rais wa Kenya William Ruto nchini Marekani imeibua jambo. Ruto kapokelewa na mwenyeji Rais Joe Biden na kuzungumzia Mengi.

Biden kamuomba Ruto waanzishe ushirikiano kabambe ikiwa ni pamoja na kujiunga na NATO. Pia kuna tetesi kuwa Rais wa Rwanda atafuata mkumbo huo mwezi July mwaka huu.

Mpango huu ukifanikiwa NATO itakuwa na wanachama wanne nje ya bara la ulaya ambao ni USA, Canada, Kenya na Rwanda.

Source: BBC Swahili
Hawataweza kujiunga na NATO kwasababu
Ni nchi ambazo hazina nguvu kijeshi ingekua rais ivo bas Saudi arabia,UAE,Australia na japan zingekua NATO,

kwa africa Egypt na aljeria zingekua NATO lakin unfortunately mambo hayako hivo
 
Ziara ya Rais wa Kenya William Ruto nchini Marekani imeibua jambo. Ruto kapokelewa na mwenyeji Rais Joe Biden na kuzungumzia Mengi.

Biden kamuomba Ruto waanzishe ushirikiano kabambe ikiwa ni pamoja na kujiunga na NATO. Pia kuna tetesi kuwa Rais wa Rwanda atafuata mkumbo huo mwezi July mwaka huu.

Mpango huu ukifanikiwa NATO itakuwa na wanachama wanne nje ya bara la ulaya ambao ni USA, Canada, Kenya na Rwanda.

Source: BBC Swahili
Nani alikuambia NATO ni kwa ajili ya bara la ulaya
Unajua kirefu cha NATO
 
Mnajua Ada ya mwaka kuwa mwanachama wa NATO au mmnaongea tu as if you know to read and kusoma? kuna nchi zinadaiwa ada na uchumi wake upo juu... eti kenya na rwanda..

Ruta ameenda Marekani kumshangaa Shaq Oneal tu alivyo Giant
 
Niliposikia hii habari BBC Swahili, nikajua kumekucha. Nini hatma ya Tanzania na majirani hawa haswa taifa chokozi kama Rwanda? Uganda, Burundi, congo na Tanzania tutakipata kisawasawa. Just the matter of time.
Wanageuzwa kambi za NATO kwa Africa,ili kukabiliana na ushawishi wa urusi na china,hakuna lolote la maana zaidi ya kukaribisha maafa Mlangoni,ukizongatia tabia ya Vita Vita ya wakuu wa NATO
 
Usa ana hofu na iran kukita mizizi Tanzania

Iran na nchi nyingine za kiarabu zimeiteka Tanzania

USA anakuja kichunguza kiundani kupitia ushirikiano wake na kenya
Iran kakita wapi mizizi yake tz!?..hebu onesha mzizi mmoja, marekani anamuogopa china na urusi,china na belt yake urusi asifanye Kama Africa magharibi,we unawaza dini tu,acha ujinga
 
Usa ana hofu na iran kukita mizizi Tanzania

Iran na nchi nyingine za kiarabu zimeiteka Tanzania

USA anakuja kichunguza kiundani kupitia ushirikiano wake na kenya
Hawa viongozi wapumbavu tulio nao sasa watatuponza ....ndiyo maana nilimkubali sana JPM alikuwa ana angaika na mambo ya ndani tu siyo huyu mpuuzi tuliye naya sasa ambaye ana abudu waarabu na mabeberu ....hadi kufikia kuchinja wamasai kwa kumrudisha muarabu kwenye nchi yetu tukufu ya tanganyika .....kama hawa viongozi wa sasa wanaona damu za watanganyika si kitu basi na damu zao ziwe si kitu vivyo ivyo. Muarabu kaua sana waafrica vipi unammilikisha NCHI. KITENDO ALICHO KIFANYA MWINYI NA SAMIA NI KUMMILIKISHA MUARABU NCHI YETU NI KITENDO HARAMU HARAMU .AMBACHO WATANGANYIKA HATUTA KUBALI ABADANI.
 
Tanzania tuna ugonjwa wa kutokufikiria n kama ugonjwa wa akili huyo Finland na Norway wamehaso kujiunga nato Ukraine mwenyewe haeleweki kujiunga Nato s kitu rahis kihivo
 
Back
Top Bottom