mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Je,unajua idadi ya wagonjwa ilivyoongezeka kwa kasi katika STATES mbali mbali ambazo zimeruhusu tena MISONGAMANO!?
Mnakwama wapi ili kuweza kupata latest INFO!? [emoji15][emoji15][emoji15]
Na wala hukuelewa,shida yetu sisi sio kupima,sisi hatutaki kututangaza hovyohovyo mnatuharibia cv yetu kwenye utalii kimakusudi,yaani nyie mlikuwa mnafanya propaganda za kizamani sana...sasa mwanaume kakufanya wewe kama mfano,hao wengine wooote wamefyata mkia,hatutaki kusikia mnaitajataja Tanzania,marufuku...!!!!!
Nyie pimeni mtakavyo,lakini kututajataja marufuku..next time tutawanyoosha...
Zambia leo wamefungua mpaka,baada ya kuona tulichowafanyia nyie,hutosikia wakiitajataja watanzania tena,marufuku!!!
Sisi shida yetu sio kutangaza, narudia tena, madereva ni wenu, nchi ni yenu, kirusi ni chenu, sasa tujipe tabu ya kutangaza kwa nini, haja yetu ni kuhakikisha hamna dereva Matanzania anayeingia kwetu akiwa ameathirika, tangu mwanzo tumesema hiyo ndio shida yetu maana nyie kwa sasa mumejichokea kwa umaskini mumeshindwa kupima.
Sasa kupima au kutokupima huko kwenu hakutuhusu ilmradi hamna muathirika yeyote anayeingia kwetu......
Hata niliwahi kuanzisha uzi kwa ajili yake huku Licha ya maongezi ya kwenye simu baina ya Rais Uhuru na Magufuli, upimaji lazima ubaki pale pale - JamiiForums
Nyie matajiri mnaopima kwa mkopo wa usd 1bil. Nyie ni kanyelamumo
Sent using Jamii Forums mobile app
so Tanzania is finally coming to the same approach as Uganda,Kenya and Rwanda but they do not want their covid19 cases announced.Baada ya Kenya na Tanzania kupimana urefu wa kisogo. Mwishowe suluhu kwenye border imepatikana. Madereva wa TZ hawakuwa wakipimwa hapo awali lakini sasa makubaliano ni kuwa wataanza kupimwa huko kwao Tanzania na cheti kitakubalika Kenya.
Vile vile dereva wa Kenya watapimwa Kenya. Hii mambo ya rais Pombe kusema kuwa dereva wenu hawana corona kwa sababu wanajiendesha kutoka Dar hadi border bila kuanguka humo ndani ikwishe.
Hata kama dereva hajaanguka ndani ya gari na yupo strong bado lazima apimwe. Kwa sasa vita imeisha. Matokeo ni 2-2
so Tanzania is finally coming to the same approach as Uganda,Kenya and Rwanda but they do not want their covid19 cases announced.
I am sure Kenya will have no problem if their tests are accurate , but why does Tanzania require secrecy? There is something GOT is trying to hide.
Akili ya kiafrika hii.Corona ni ugonjwa Endelevu itafikia hatua watu wengi na nchi nyingi zitaelewa Maamuzi Tanzania iliyochukua ni sahihi...
Itakuwa kama HIV au CANCER.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasipo tajwa serikali itataja kweli? Au wanatafuta mwanya wa kupika data?
mkuu mpoteze tu uyo anachembechembe za uongo.. huoni hapo juu kasema eti watapima kwa sirisiri eti wasitutangaze.. wakati habari haijasema hivyo au kiswahili hakijui vizuri amekosa misamiati ya kuelezea maana yake..Mnapima mkiwa ndani kwetu? Sijakuelewa kabisa. Mbona wanasema wanapimwa Tz na wanapewa vyeti watumie kuvuka border. Ww iyo kupimia ndani mwetu umeitolea wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kutoa mfano hai.Kwani mkuu, wewe unatoka nje au umejifungia ndani? Mie natoka sijaona hayo maradhi. Katika ndugu zangu, upande wa baba na mama, ni babu yangu mmoja tu aged 70s ambaye alipata heart attack, pressure zaidi 200, tunamuuguza kawaida, tunatembelea bila barakoa, tunamhamisha hospital moja hadi nyingine, ndugu jamaa na marafiki wanafika kumpa pole, alipofariki tu, madakatari wakaanza deal zao, kafa kwa dalili za corona. Waliulizwa maswali haya hayakupata majibu:-
1. Kama mlijua ni dalili za cirona, kwa nini hamkusema tumuuguze kwa tahadhari?
2. Kama ni corona, kwa nini hamjatuweka quarantine wote tuliofika kumwona mwenye corona?
3. Kwa nini hbr za corona zije baada ya kifo na mlazimishe kuzika nyie wkt wa ugonjwa hamkusema?
Hayo maswali yalikosa majibu japo walifanikiwa kuzua taharuki. Mwisho wa siku tulishinda, tukamzika kwa taratibu walizotaka wao lkn siyo wao kumzika.
Ukichunguza kwa umakini, kuna deal mpya liliibuka bongo. Yaani hata ajali watasema mwili una dalili za corona ili wakazike kwa kuwa utanunua vifaa vya kujikingia which by then is a good business.
Tangu tumezika, tukapeana moyo kuwa siyo corona, leo siku ya 12, hakuna ndugu yeyote aliyeugua. Na ni dsm hiii, siyo nje ya dsm
Sent using Jamii Forums mobile app