Kwani mkuu, wewe unatoka nje au umejifungia ndani? Mie natoka sijaona hayo maradhi. Katika ndugu zangu, upande wa baba na mama, ni babu yangu mmoja tu aged 70s ambaye alipata heart attack, pressure zaidi 200, tunamuuguza kawaida, tunatembelea bila barakoa, tunamhamisha hospital moja hadi nyingine, ndugu jamaa na marafiki wanafika kumpa pole, alipofariki tu, madakatari wakaanza deal zao, kafa kwa dalili za corona. Waliulizwa maswali haya hayakupata majibu:-
1. Kama mlijua ni dalili za cirona, kwa nini hamkusema tumuuguze kwa tahadhari?
2. Kama ni corona, kwa nini hamjatuweka quarantine wote tuliofika kumwona mwenye corona?
3. Kwa nini hbr za corona zije baada ya kifo na mlazimishe kuzika nyie wkt wa ugonjwa hamkusema?
Hayo maswali yalikosa majibu japo walifanikiwa kuzua taharuki. Mwisho wa siku tulishinda, tukamzika kwa taratibu walizotaka wao lkn siyo wao kumzika.
Ukichunguza kwa umakini, kuna deal mpya liliibuka bongo. Yaani hata ajali watasema mwili una dalili za corona ili wakazike kwa kuwa utanunua vifaa vya kujikingia which by then is a good business.
Tangu tumezika, tukapeana moyo kuwa siyo corona, leo siku ya 12, hakuna ndugu yeyote aliyeugua. Na ni dsm hiii, siyo nje ya dsm
Sent using
Jamii Forums mobile app