Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

Kwani mkuu, wewe unatoka nje au umejifungia ndani? Mie natoka sijaona hayo maradhi. Katika ndugu zangu, upande wa baba na mama, ni babu yangu mmoja tu aged 70s ambaye alipata heart attack, pressure zaidi 200, tunamuuguza kawaida, tunatembelea bila barakoa, tunamhamisha hospital moja hadi nyingine, ndugu jamaa na marafiki wanafika kumpa pole, alipofariki tu, madakatari wakaanza deal zao, kafa kwa dalili za corona. Waliulizwa maswali haya hayakupata majibu:-

1. Kama mlijua ni dalili za cirona, kwa nini hamkusema tumuuguze kwa tahadhari?
2. Kama ni corona, kwa nini hamjatuweka quarantine wote tuliofika kumwona mwenye corona?
3. Kwa nini hbr za corona zije baada ya kifo na mlazimishe kuzika nyie wkt wa ugonjwa hamkusema?

Hayo maswali yalikosa majibu japo walifanikiwa kuzua taharuki. Mwisho wa siku tulishinda, tukamzika kwa taratibu walizotaka wao lkn siyo wao kumzika.

Ukichunguza kwa umakini, kuna deal mpya liliibuka bongo. Yaani hata ajali watasema mwili una dalili za corona ili wakazike kwa kuwa utanunua vifaa vya kujikingia which by then is a good business.

Tangu tumezika, tukapeana moyo kuwa siyo corona, leo siku ya 12, hakuna ndugu yeyote aliyeugua. Na ni dsm hiii, siyo nje ya dsm
Je,unajua idadi ya wagonjwa ilivyoongezeka kwa kasi katika STATES mbali mbali ambazo zimeruhusu tena MISONGAMANO!?

Mnakwama wapi ili kuweza kupata latest INFO!? [emoji15][emoji15][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zambia wako 800+ hafu wanaleta ujinga
Na wala hukuelewa,shida yetu sisi sio kupima,sisi hatutaki kututangaza hovyohovyo mnatuharibia cv yetu kwenye utalii kimakusudi,yaani nyie mlikuwa mnafanya propaganda za kizamani sana...sasa mwanaume kakufanya wewe kama mfano,hao wengine wooote wamefyata mkia,hatutaki kusikia mnaitajataja Tanzania,marufuku...!!!!!
Nyie pimeni mtakavyo,lakini kututajataja marufuku..next time tutawanyoosha...

Zambia leo wamefungua mpaka,baada ya kuona tulichowafanyia nyie,hutosikia wakiitajataja watanzania tena,marufuku!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie matajiri mnaopima kwa mkopo wa usd 1bil. Nyie ni kanyelamumo
Sisi shida yetu sio kutangaza, narudia tena, madereva ni wenu, nchi ni yenu, kirusi ni chenu, sasa tujipe tabu ya kutangaza kwa nini, haja yetu ni kuhakikisha hamna dereva Matanzania anayeingia kwetu akiwa ameathirika, tangu mwanzo tumesema hiyo ndio shida yetu maana nyie kwa sasa mumejichokea kwa umaskini mumeshindwa kupima.
Sasa kupima au kutokupima huko kwenu hakutuhusu ilmradi hamna muathirika yeyote anayeingia kwetu......

Hata niliwahi kuanzisha uzi kwa ajili yake huku Licha ya maongezi ya kwenye simu baina ya Rais Uhuru na Magufuli, upimaji lazima ubaki pale pale - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie matajiri mnaopima kwa mkopo wa usd 1bil. Nyie ni kanyelamumo

Sent using Jamii Forums mobile app

Duh! Hadi mnaongea lugha za ajabu, kanyelamumo ndio kitu gani...hehehe!!
Inapaswa mfahamu kwa nyie kujichokea kisa umaskini na kushindwa kupima ndio mojawapo wa sababu za kutengwa na majirani, maana yaani hampimi halafu mnataka waathirika wenu waingie ingie kwenye nchi za watu.

Kwa vile sasa mumenyooshwa maungo na kukubali kupimwa hapo mpakani kabla kuingia, hakuna jirani atakua na tatizo na ninyi, yaani ilmradi hamuambukizi majirani, hakuna atakayejali iwe mnajifia ndani au la, mbaki huko huko mlioathirika, huku tunawakaribisha mlio na afya njema basi.
 
Baada ya Kenya na Tanzania kupimana urefu wa kisogo. Mwishowe suluhu kwenye border imepatikana. Madereva wa TZ hawakuwa wakipimwa hapo awali lakini sasa makubaliano ni kuwa wataanza kupimwa huko kwao Tanzania na cheti kitakubalika Kenya.

Vile vile dereva wa Kenya watapimwa Kenya. Hii mambo ya rais Pombe kusema kuwa dereva wenu hawana corona kwa sababu wanajiendesha kutoka Dar hadi border bila kuanguka humo ndani ikwishe.

Hata kama dereva hajaanguka ndani ya gari na yupo strong bado lazima apimwe. Kwa sasa vita imeisha. Matokeo ni 2-2

so Tanzania is finally coming to the same approach as Uganda,Kenya and Rwanda but they do not want their covid19 cases announced.
I am sure Kenya will have no problem if their tests are accurate , but why does Tanzania require secrecy? There is something GOT is trying to hide.
 
But there will be random tests even after they have crossed the border, meaning they are not off the hook yet, we don't care about them hiding data and the secrecy as long as they don't affect or infect us.

I think the reason for secrecy could be because they are heading towards a general election and survival of the main party CCM depends hugely on it, so allowing this corona thing to mess the exercise would jeopardize them. Once they are back to power with another five year mandate, they will resume the tests and announcements with nothing to fear.
 
IMG_20200523_063326.jpg
 
Mnapima mkiwa ndani kwetu? Sijakuelewa kabisa. Mbona wanasema wanapimwa Tz na wanapewa vyeti watumie kuvuka border. Ww iyo kupimia ndani mwetu umeitolea wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mpoteze tu uyo anachembechembe za uongo.. huoni hapo juu kasema eti watapima kwa sirisiri eti wasitutangaze.. wakati habari haijasema hivyo au kiswahili hakijui vizuri amekosa misamiati ya kuelezea maana yake..
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kwani mkuu, wewe unatoka nje au umejifungia ndani? Mie natoka sijaona hayo maradhi. Katika ndugu zangu, upande wa baba na mama, ni babu yangu mmoja tu aged 70s ambaye alipata heart attack, pressure zaidi 200, tunamuuguza kawaida, tunatembelea bila barakoa, tunamhamisha hospital moja hadi nyingine, ndugu jamaa na marafiki wanafika kumpa pole, alipofariki tu, madakatari wakaanza deal zao, kafa kwa dalili za corona. Waliulizwa maswali haya hayakupata majibu:-

1. Kama mlijua ni dalili za cirona, kwa nini hamkusema tumuuguze kwa tahadhari?
2. Kama ni corona, kwa nini hamjatuweka quarantine wote tuliofika kumwona mwenye corona?
3. Kwa nini hbr za corona zije baada ya kifo na mlazimishe kuzika nyie wkt wa ugonjwa hamkusema?

Hayo maswali yalikosa majibu japo walifanikiwa kuzua taharuki. Mwisho wa siku tulishinda, tukamzika kwa taratibu walizotaka wao lkn siyo wao kumzika.

Ukichunguza kwa umakini, kuna deal mpya liliibuka bongo. Yaani hata ajali watasema mwili una dalili za corona ili wakazike kwa kuwa utanunua vifaa vya kujikingia which by then is a good business.

Tangu tumezika, tukapeana moyo kuwa siyo corona, leo siku ya 12, hakuna ndugu yeyote aliyeugua. Na ni dsm hiii, siyo nje ya dsm

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kutoa mfano hai.

Ukweli ni kwamba kelele nyingi za kupotosha kuhusu corona zilitolewa kwa misingi ya kisiasa Kama anachofanya huyo Jamaa ambaye anajulikana wazi ni mpiga propaganda wa chama Fulani eti serikali ionekane imeshindwa!

Wameshindwa kuwadanganya watanzania sababu tunaona hali halisi, lakini wametuchafua sana nje/kimataifa ambako wasiotutakia mema wakawa wanatangaza uongo wao tu kama walivyofanya BBC na DW.

Jamaa hapo juu katoa list ya nchi 10 ambazo hazijatangaza matokeo ya vipimo kwa muda mrefu zaidi, Tanzania haipo. Lakini wao wanapiga kelele wakituaminisha Tz ni nchi ya ajabu na pekee isiyotangaza matokeo. Ukiwauliza matokeo yanasaidia nini wanabaki kubwabwaja!
 
Hawatatajwa ila watarudishwa watokako na itakuwa kimya kimya kwa mitanzania ila kule Kenya raia wataelezwa kila kitu na watapewa tahadhari.

Mitanzania bwana yani ukishakuwa na kiongozi poyoyo haya ndiyo matokeo yake.

Kwanza mwenyewe alikimbia akaiacha watu wafe now anakuja na misimamo ya hovyo hovyo.
 
Sasa ninyi Kenya kwa nini mmekubali ushauri wa kijanga wa Mobutu Sese Seko Kuku?
 
Back
Top Bottom