Kenya na Tanzania zarejesheana Vibali vya Safari za Ndege

Kenya na Tanzania zarejesheana Vibali vya Safari za Ndege

Yaani Tanzania mambo yetu yanafanyika very unprofessiona. But so far it's working to our advantage ..... Uzuri Kenya wanatuelewa hvyo inabidi twende tu.

Yaani Kenya na Tanzania imekuwa kama vile ni mtu na mkewe waliochokana kila siku vurugu tu.....!!
How come useme unprofessional wakati wao ndio waliotaka kukiuka makubaliano? Miaka inaenda hakuna mjinga tena
 
Back
Top Bottom