Mkuu kwahyo kama walimuunga mkono au kumpigia debe Lowasa ndo majasusi ??! Mtoa mada kwaliweka vzuri suala hili ni la kiintelijensia ila wewe sasa unatia hisia zako za kisiasa. Weka siasa zako kando mkuu. Mimi nilimpigia debe Lowasa, vipi na mimi ni jasusi ??! Uwezekano wa kupenyezewa majasusi na nchi hzi jiran kwa mwanya wa walimu ni mkubwa kama alivyoelezea mtoa mada na mashaka anayowatilia ila suala la kumpigia mtu kampeni sio kigezo cha kua jasusi ACHA SIASA DOGO HII ISSUE NI SENSITIVE. Nashukuru