Tetesi: Kenya na Uganda zinapenyeza majasusi kupitia shule za binafsi Tanzania

Hahaha mkuu Mada ni hao wageni, Sasa ulivyosema waliunga mkono sikuona haja ya kuwataja watokako.

Labda Kama unataka kupenyeza siasa kwenye hii Ishu. Ila iko very sensitive.
Mkuu sijui una maana gani unaposema ''kupenyeza siasa''. Vyovyote iwavyo, lakini sidhani kama ni siri kwani kulikwa na clip kadhaa niliziona zinaonyesha jamaa wakihamasisha watu (nadhani ilikuwa kanisani ila sikumbuki tena) kuwa hata kama wanasema Lowassa ni mgonjwa wasiogope kumchagua kwani wao kuna kipindi walimchagua Mwai Kibaki akiwa kwenye wheel-chair. Na magazeti yao kwa sasa yamekuwa yanaandika sana kuhusu mambo negative yanayotokea hapa kwetu.
 
Ukisoma mleta mada anachokisema na hichi unachoandika ni vitu viwili tofauti.
 
Eapionage games,taarifa wanazo mkuu.
We mzalendo hasa,bigup
 
Kifupi hii hoja ni sehemu ya mkakati uliopo wa kudhoofisha zaidi shule za binafsi maana ndizo zenye walimu wengi waliotoka katika hizo nchi zilizotajwa. Na bado.
 
Ukisoma mleta mada anachokisema na hichi unachoandika ni vitu viwili tofauti.
Hamna tofauti. Yeye kasema ''wameleta majasusi'''. Na mimi nimesema hata wakati wa uchaguzi walikuwepo na walitaka ku-influnce upigaji wa kura ili Lowassa ashinde. Sasa mtu anayekwenda ku-influnce matokeo ya uchaguzi wa nchi nyingine kama siyo jasusi ni nani?
 
Ngoja nasi tupeleke kwao kupitia Walimu wa KIswahili
 
Kwanini walete waalimu na sisi tunao hawana ajira?
 
Aise hii itatugharimu maana jamaa wako nyomi, private schools bila hawa jamaa inaonekana haijawa international school. Nadhani serikali ifanye kutupia walimu maspy wetu kwny hzo shule ili tuwachunguze wanaotuchunguza.
 
Mkuu kwahyo kama walimuunga mkono au kumpigia debe Lowasa ndo majasusi ??! Mtoa mada kwaliweka vzuri suala hili ni la kiintelijensia ila wewe sasa unatia hisia zako za kisiasa. Weka siasa zako kando mkuu. Mimi nilimpigia debe Lowasa, vipi na mimi ni jasusi ??! Uwezekano wa kupenyezewa majasusi na nchi hzi jiran kwa mwanya wa walimu ni mkubwa kama alivyoelezea mtoa mada na mashaka ila ACHA CHUKI ZAKO ZA KISIASA DOGO HII ISSUE NI SENSITIVE. Nashukuru
 
Hiyo ni "inferior complex" ya sisi Watanzania.....wa Kenya au Waganda wapelelezi nini hapa? Wakati kila jambo liko wazi shindana acha majungu....tuko kwenye utandawazi wakati wamajungu umeshapita nawakati jomba.
 
Kama ulimpigia debe na wewe SIYO raia wa Tanzania basi ni ujasusi! Raia wa nchi moja HARUHUSIWI kushiriki katika uchaguzi wa nchi nyingine. Si unaona USA wanavyohaha juu ya Russia kuingilia uchaguzi wao lakini? Tatizo lako unadhani mimi nazungumzia mambo ya UKAWA na CCM hapa.
 
kila dalili inaonesha kuwa umeandika haya uliyoyaandika kwa sababu ya kufeli interview kwa kuzidiwa na ngenge na wakenya
Watanzania wengi wanaojua kingereza hawana local accent hivyo wanaonekana kujua kingereza vizuri kuliko their north neighbors whose mother tongue affects their English
 
Watanzania wengi wanaojua kingereza hawana local accent hivyo wanaonekana kujua kingereza vizuri kuliko their north neighbors whose mother tongue affects their English
Sasa hofu na chuki za nini ?! Uchaguzi uliisha na uliemuamini alishinda, basi fanya ya maana kuliko kutaka our private schools kusafa just zinafundishwa na hao jamaa.
 
Kumbuka kuna Watz pia wapo Uganda na Kenya.Hiyo fitina unayopanda itawarudia tu ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…