Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Naibu Rais Rigathi Gachagua amemuomba Rais William Ruto amsamehe iwapo amemkosea kwa namna yoyote. Akihutubia kwenye ibada ya maombi ofisini kwake Karen, Gachagua pia aliwaomba radhi wabunge wote, siku moja kabla ya kuanza kwa mchakato wa kumtimua kwenye Bunge la Taifa la Kenya.