johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huko Kenya leo polisi walizingira Kanisa na kupiga mabomu ya machozi ili kuwazuia wafuasi wa Naibu Rais William Ruto kufanya siasa.
Rutto aliyekuwa ndani ya Kanisa ameilaumu serikali yake mwenyewe kwa mashambulizi hayo lakini polisi wamemjibu walikuwa wakitimiza majukumu yao ya kikatiba.
Tusiwajaribu polisi Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!