johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Muhutu hafai
Anakimbizwa na njaaNimesoma hata sijaelewa umeandika nini ? Rudi andika upya haraka ya nini?
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Duuu! Ungejua mkuuNaam, ukiandika Kiswahili unaeleweka vizuri.
Mbinguni!![emoji16][emoji16][emoji16]Kwani magufuli zile pesa za msikiti alichangisha wapi vile
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Police wetu wana hata chembe ya kulinda katiba yetu?polisi wamemjibu walikuwa wakitimiza majukumu yao ya kikatiba
Kwani lissu ni makamu wa rais...?wew lijamaa ukishakunywa viroba hapo lumumba unakua brainless....ushuzi wa jiwe unanukia lakini kwa unanuka...pumbaf sn wwTundu Lisu amekuwa na kawaida ya kuongozana na wachungaji kwenye mikutano yake ya kampeni kwa mfano askofu Mwamakula.
Huko Kenya leo polisi walizingira Kanisa na kupiga mabomu ya machozi ili kuwazuia wafuasi wa Naibu Rais William Ruto kufanya siasa.
Rutto aliyekuwa ndani ya Kanisa ameilaumu serikali yake mwenyewe kwa mashambulizi hayo lakini polisi wamemjibu walikuwa wakitimiza majukumu yao ya kikatiba.
Tusiwajaribu polisi Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Ni kama huu ushirikiano wa Chadema na ACT wazalendo lazima watazinguana!Kumbe ushirikiano wa Uhuru na Ruto kutwaa dola ulikuwa wa unafiki?
Ukiona hadi mabomu yametumika ujue Ruto the hustler kaisha pigwa chenga ya mwili.
Nimesikia pia Uhuru anapanga kubadirisha katiba.