Kenya namba tano duniani kwa nishati mbadala

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hivyo hivyo tunapeta.

===

Kenya has been ranked fifth globally in an annual Bloomberg index measuring investments and opportunities in clean energy, underlining the country’s position as the centre of renewable energy in Africa.

The BloombergNEF (BNEF) latest Climatescope report says that Kenya’s rise for the first time in the global top five has been backed by the higher contribution of solar, wind and geothermal capacity into the energy mix.

These three now account for up to 65 percent of the country’s energy sources.
Kenya, which had Sh140 billion investments in clean energy sources in 2018, ranked the best in Africa and together with Morocco made it to the top 10 list, beating many others from the developed world, including Europe where most of the clean energy investments are sourced.

“Kenya appears for the first time in the Climatescope top five. The country is gradually increasing its share of non-large hydro renewables by adding solar, wind and geothermal,” says the Bloomberg report.

“In 2018, Kenya recorded its highest ever clean energy investment with $1.4 billion (Sh140 billion). Kenya also accounted for over a third of all 2018 foreign investment into Sub-Saharan Africa.”

The Climatescope 2019 index methodology includes 167 indicators and sub-indicators split into three key topic areas that encompass each country’s previous accomplishments, its current investment environment, and the future opportunities it presents.

Kenya scored 2.52 on the index, behind India (2.93), Chile (2.85), Brazil (2.76) and China (2.59).

The country was praised for its extensive renewable energy value chain as the country boots its contribution of clean energy, which is also cheaper to produce compared to thermal energy.

Source: Business Daily
 
Hapana umekosea, ni namba moja

Ova
 
Hapana umekosea, ni namba moja

Ova

Usiwe na shaka, hiyo namba moja haipo mbali tutainyakua tu maana Wakenya ni level nyingine, tatizo huwa tunakwama kwa sababu ya kuzungukwa na majirani wazembe wa kutupwa mbali....angalia hii ramani hapa chini uone Kenya ilivyo na upweke, maishani ukiishi kama umezingirwa na mivivu, utachelewa sana licha ya kujituma, sasa tatizo au changamoto hatuna uwezo wa kubadilisha majirani, inabidi tuwabebe kama walivyo...

Sema kuna wengine wamejitakia tu kuwa maskini, wana kila kitu, hawajawa na machafuko ya kivita, wana raslimali za kila aina lakini maskini wa kutupwa.

Africa-UN.jpg
 
Helo JF kwa kukufundisha kiswahili, walau sasa unaongea vitu vinavyoeleweka kama muimba taarabu.

By the way, hujaeleza ni jinsi gani majirani wanavyowakwamisha kufikia malengo yenu ya nishati jadidifu?
 
Uganda sijui wanakwama wapi maana wao sio wazembe kama mlivyo....
 
Wako wapi wale watu wa kuita Kenya failed state? Cc joto la jiwe
 
Helo JF kwa kukufundisha kiswahili, walau sasa unaongea vitu vinavyoeleweka kama muimba taarabu.

By the way, hujaeleza ni jinsi gani majirani wanavyowakwamisha kufikia malengo yenu ya nishati jadidifu?
Jadidifu. Dah. Umetesa kweli.
 
Jadidifu. Dah. Umetesa kweli.

Aha haa
Kwenye Kamusi Kuu ya Kiswahili iliyoandaliwa na Taasisi ya Ukuzaji wa Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Inasema Nishati Jadidifu inahusisha nishati itokanayo na upepo, jua, maji, joto ardhi na mboji. Ni nishati rafiki kwa mazingira. Ndiyo maana tumeapa kutekeleza mradi mkubwa wa umeme wa Bonde la Nyerere licha ya propaganda za kuwa mradi siyo rafiki wa mazingira.
 
Geothermal is our destiny, tuhakikishe tunaongoza dunia kwa Geothermal research,development,production by 2030
 
Usiwe na shaka, hiyo namba moja haipo mbali tutainyakua tu maana Wakenya ni level nyingine, tatizo huwa tunakwama kwa sababu ya kuzungukwa na majirani wazembe wa kutupwa mbali....angalia hii ramani hapa chini uone Kenya ilivyo na upweke, maishani ukiishi kama umezingirwa na mivivu, utachelewa sana licha ya kujituma, sasa tatizo au changamoto hatuna uwezo wa kubadilisha majirani, inabidi tuwabebe kama walivyo...

Sema kuna wengine wamejitakia tu kuwa maskini, wana kila kitu, hawajawa na machafuko ya kivita, wana raslimali za kila aina lakini maskini wa kutupwa.

Africa-UN.jpg
Hivi wewe huwezagi kuiongelea Kenya vizuri bila kuzidunisha nchi nyingine? Mbona mna chuki zisizokoma muda wote? Sehemu wala haihitajiki chuki kabisa lakini unaiibua ili Kenya ionekane bora?
 
Stop the hypocrisy! Wewe ni baadhi ya wale ambao wamezoea kuiita Kenya "failed state"
Mbona kashika Mori nchi yako ikitiwa kejeli?
 
Kuongea ukweli sio chuki, ndivyo mlivyo mivivu, haiwezekani nchi muwe na kila kitu raslimali za kila aina madini kuzidi hata mataifa mengine mengi, nchi yenyewe kubwa yenye rotuba kila sehemu haina jangwa wala sehemu kame, vivutio bora vya watalii kuzidi mataifa yote Afrika...yaani orodha ndefu tu ukizingatia ni muungano wa ncho mbili, lakini maskini wa kutupwa.

Bora wengine wanaweza wakajitetea kuwa wamekumbwa na misukosuko na machafuko hadi vikawachelewesha.

Kubali kuambiwa ukweli na utakuweka huru, jana nilikua namskliza rais Magufuli akiwa Mwanza na kwa mara ya kwanza nikaanza kukubaliana na baadhi ya misemo yake, alikua anataja vitu ambavyo mumeviua kwa miaka yote hiyo ikiwemo meli kadhaa.
Nyie ni wazembe na ndio ukweli huo, mkikubali kauli mbiu ya kuamka na kufanya kazi, ipo siku mtaacha kuonwa wa hovyo.
Huku mumetujazia omba omba kila sehemu
 
Hivi wewe huwezagi kuiongelea Kenya vizuri bila kuzidunisha nchi nyingine? Mbona mna chuki zisizokoma muda wote? Sehemu wala haihitajiki chuki kabisa lakini unaiibua ili Kenya ionekane bora?
Huyu huwa anasumbuliwa na ufinyu wa akili alafu tena ukiongezea lile dili la sgr lililosainiwa juzi anazidi kuumia na kuonesha chuki za waziwazi 😂😂😂
 
Stop the hypocrisy! Wewe ni baadhi ya wale ambao wamezoea kuiita Kenya "failed state"
Mbona kashika Mori nchi yako ikitiwa kejeli?
Kwani ni Tanzania ndio ilitaja kenya kama failed state 😂😂😂
Yeah ni kweli kenya ni failed state hilo halina ubishi.
 
Back
Top Bottom