Kenya ndio ya pili Afrika kwenye umahiri katika lugha ya Kiingereza

Hebu acha kudanganya wenzio wewe...
Hebu soma hapa uone hata huyo mkoloni unayemsemea wewe alivyoandika kinyume na wewe: Swahili history

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu acha kudanganya wenzio wewe...
Hebu soma hapa uone hata huyo mkoloni unayemsemea wewe alivyoandika kinyume na wewe: Swahili history

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo lenu uvivu ndio zenu, unasoma sentensi moja na kukimbilia ku-post humu, tiririka kwenye huo ukurasa, soma zaidi kama aya mbili hivi, kisha usome haya maandishi chini kabisa, utajifunza kitu

Regarding the history of the Swahili language, the older view linked to the colonial time asserts that the Swahili language originates from Arabs and Persians who moved to the East African coast.

Authors: Hassan O. Ali; revised by; Abdurahman Juma
 
Jitu jeusi linajipiga kifua kisa kaambiwa anaongea kama mzungu (muingereza) hahaha

Ukifikiri umeona vibweka vyote dunia hii, unajidanganya.
 
huijui Tanzania wewe acha kubwabwaja, unafahamu vijisemehu tu, unakurupuka tu kuandika kile vidole vyako vinapenda kuandika badala ya kutumia akili, kwenda huko ukabishane na vilaza wenzako sio hapa,
Mbna hasira[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tena kwanza wasukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The British empire forced its colonies to abandon their own languages. Now they are making English their own.
Basi ni mkenya gani asiyejua lugha ya kwao..
Yani hku mila kwanza halafu mengine badae, wahenga hawakukosea bana walipowaita watumwa walioacha mila zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiswahili sio lugha ya watanzania tena jamani...
Haya hzo "mother tongue" ni zipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi kizungu ni kitamu ukikiongea au ukisikia mtu anakiongea, kwa sie afrika mashariki tuliokuwa koloni la UK, sasa ukienda msumbiji, au nchi zilizotawaliwa na mreno, unafikili atakuwa na mapenzi mazito na kimombo kama wewe!? La hasha.
Sasa kizungu mnakipiga vzr, lakini cha ajabu juzi mlipewa msaada wa chakula na nchi ambayo asilimia 95 ni jangwa!! Sasa mi niritegemea ujisikie vibaya hapa kuriko kujisifia na kujiona bora kwa vile umesifiwa na wenye lugha yao kwamba unajua kuiongea vzr! Mwafrika ni ngozi ya tako.
Kandarasi kubwa hapo kwenu, anafanya mchina, no hajuhi kizungu kama wewe, ila wewe na kizungu chako bado ni ombaomba hata kujilisha uwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo msaada tuliuomba wapi..
Eti mchina hajui kingereza na wakati mkataba lazima uandikwe kwa kingereza...

Kwn yapi hko bongo wanatumia kizaramo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…