Copy
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 1,055
- 1,341
Inaonyesha bado hajakuelewa mkuu. Maana naona anasema uandike kwa lugha yako wakati marekebisho umeyaonyesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu acha kudanganya wenzio wewe...Hamna lugha ya Mtanzania maana hamna kitu kiliumbwa kinachoitwa Mtanzania, mkoloni ndiye alikuja akachora chora mipaka na kugawa makabila kwa makundi kisha akasema wa huku waitwe watanzania na wa kule waitwe Wakenya. Hao watu waliopewa Utanzania na mkoloni walikua na lugha zao za asili na mila na desturi zao, mkoloni kawabaka na kawavuruga kila kitu, wengi wanaishi mjini kazi kuvaa milegezo hawajui hata salamu kwa lugha zao za asili.
Pia tumshukuru mkoloni wa Kiarabu aliyekuja akabuni Kiswahili baada ya kuchukua lugha fulani iliyokua inatumika na kabila la Wangozi hapa Kenya, akachomekea maneno mengi ya kiarabu kisha akaongeza na mengine ya kibantu hadi kikawa lugha, neno lenyewe Swahili ni la kiarabu, linatokana na neno "Sawahil". Japo tunamshukuru mkoloni wa Kiarabu, ila aliwabaka sana mababu zetu.
Hivyo Tanzania yote hamna mtu anayeweza kusema Kiswahili ndio lugha yake ya asili, wengi kwa mlivyo watumwa mlitelekeza lugha zenu zote, unakuta Msukuma anang'ang'ania eti Kiswahili ndio lugha yake ya asili. Halafu mpo kitumwa sana nyie, uandishi wenu wa Kiswahili chenyewe hutia kinyaa, hamzingatii ufasaha wake, Kingereza kilishawapiga chenga, lugha zenu za asili ndio hamjui chochote, maisha ya kiutumwa hayo, hamna hata lugha moja mnayoimudu.
Ndio maana huwa mumechelewa katika kila kitu.
Hebu acha kudanganya wenzio wewe...
Hebu soma hapa uone hata huyo mkoloni unayemsemea wewe alivyoandika kinyume na wewe: Swahili history
Sent using Jamii Forums mobile app
LOL professional flani ndio nini?Wanaojua kingereza tanzania wanatusua, kwnza awe ana proffessional flani...basi utamshinda wapi wewe katika interview, yani anachukuliwa juu juu ili wapate kumtumia kuiwakilisha kampuni nje ya mipaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahahaaa!!mbna unateseka na ukwel waujua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwan huijui lugha ya mtanzania
Mbna unakishobokea kiswahili basi..Doh!!
Nikate tamaaa???
Mi sina njaa ya kushobokea vya watu mzee,pambaneni na njaa kwanza halafu ndio mje kujifananisha na sisi.
Karen unapaweza jomba, heri ukomae na kibera tu manake hko ndipo mtanzania wa kawaida hujistiri akizamia nairobiWewe unaishi wapi? Karen?
Unavyoonekana unapenda michambo ndio walewale wa Kibera.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna hasira[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tena kwanza wasukumahuijui Tanzania wewe acha kubwabwaja, unafahamu vijisemehu tu, unakurupuka tu kuandika kile vidole vyako vinapenda kuandika badala ya kutumia akili, kwenda huko ukabishane na vilaza wenzako sio hapa,
Basi ni mkenya gani asiyejua lugha ya kwao..The British empire forced its colonies to abandon their own languages. Now they are making English their own.
Kiswahili sio lugha ya watanzania tena jamani...Hao watu wanaochanganya ni mother tongue zao ndio zinafanya wawe hivyo... Kwan hujawahi sikia watu wa kabila fulani wanachanganya matumizi ya herufi na herufi...mambo ndo yapo hivyo labda kama unataka ulete ligi...kujua ama kutokujua matumizi ya herufi hizo hakukufanyi ufike ama usifike chuo... Na mwisho kujua lugha ya kiswahili hakukupi garantii wewe kuijua lugha ya kiingereza.... Kuna mshikaji kiswahili anachanganya mambo ila kiingereza anaongea na native speaker na wanaelewana.
nakueleza ukweli unaniambia nina hasira, hebu acha uchizi ndugu jaribu kutumia hata kifua kufikiri kama kichwa hakiko sawa
Safi kizungu ni kitamu ukikiongea au ukisikia mtu anakiongea, kwa sie afrika mashariki tuliokuwa koloni la UK, sasa ukienda msumbiji, au nchi zilizotawaliwa na mreno, unafikili atakuwa na mapenzi mazito na kimombo kama wewe!? La hasha.Wazee wa "sizitaki mbichi" mkishindwa na Kiingereza kwa mlivyo wazembe mnaanza kukitukana eti ni cha mkoloni, lakini wajanja wa lugha tumejua umuhimu wake na tunakitumia pakubwa katika kukuza uchumi wa nchi na kujiendeleza kila mmoja kwenye nafasi yake.
Mnaopenda kukitukana, unakuta huko kwenu wenye hela wamewapeleka watoto wao wakapate elimu kwenye shule za kimataifa, huko wanafunzwa na kuongea Kiingereza, maskini ndio wanasotea kwenye shule za saint kayumba wakiambiwa wakomae na Kiswahili eti ndio uzalendo na wasijifunze lugha yoyote nyingine, ila ikija kwenye soko la ajira, tangazo linaandikwa kwamba moja wapo wa vigezo ni lazima uwe na uwezo wa "kuzungumza na kuandika kwa Kiingereza". Watu wa ze ze ze wanaishia kuambulia patupu.
Rais wetu leo hii anashusha deals kali kali za kimataifa, hii imetokana na umahiri wake kwenye kujieleza kwa hii lugha, inampa kujiamini.
Leo hii hata Wachina, Warusi wote wanahangaika kujifunza Kiingereza.
Binafsi napenda sana Kiswahili na huwa nipo kwenye mstari wa mbele kwenye kukipigia debe, ila siwezi nikaganda kwenye lugha moja kama zezeta.
======
Kenya rated second best in English fluency test
Kenyans are the second most fluent English speakers in Africa, according to a ranking by global private language tutor, Education First (EF), a ranking which primes the country to attract foreign investment.
The English Proficiency Index (EPI) by the Switzerland-based company ranks Kenya behind South Africa even though
Nairobi still emerged as the highest placed African city. Globally, Kenya was placed at position 18 while South Africa came in sixth, followed by Nigeria (29) and Ethiopia at 63. The Netherlands is ranked top in competency level.
English, considered the global lingua franca of business, has been adopted in the world as a bridging language to lower transaction costs across borders.
The EF report links English proficiency to innovation, public investment in research and development, number of researchers per a population of one million as well as technicians per capita. According to the firm, countries with higher ranks in English language skills experience higher labour productivity and stand a higher chance of economic growth compared to others, as language skills help economies to remain competitive by removing the communication barrier.
“Although there is evidence that the pace of globalisation is slowing, international trade is a significant portion of the world economy, with exports making up around 20 percent of the world’s economic output. We consistently find a correlation between ease of doing business and a country’s English proficiency, as well as speaking English and a range of logistics-related indicators,” the report says.
The growth projected from efficiency in the language has also been tied to the services sector where communication is essential and also holds the larger share of economic activities.
“iPhones can be shipped anywhere, accountants cannot,” the report notes. “Language use is tied to a country’s service exports as well as the value added per worker in services. As the complexity and sophistication of economic exchange increases, so does the demand for linguistic competencies. A growing number of MBA programmes demand fluency in English and a second, sometimes third, language”.
The mastery of English has also been used as one measure of the level of skilled workforce in a country, with EF saying it could increase employability.
Source: Business Daily
Ukweli siku zote haupingiki...watanzania wana lugha zao, we ukitaka lia sasanakueleza ukweli unaniambia nina hasira, hebu acha uchizi ndugu jaribu kutumia hata kifua kufikiri kama kichwa hakiko sawa
Huo msaada tuliuomba wapi..Safi kizungu ni kitamu ukikiongea au ukisikia mtu anakiongea, kwa sie afrika mashariki tuliokuwa koloni la UK, sasa ukienda msumbiji, au nchi zilizotawaliwa na mreno, unafikili atakuwa na mapenzi mazito na kimombo kama wewe!? La hasha.
Sasa kizungu mnakipiga vzr, lakini cha ajabu juzi mlipewa msaada wa chakula na nchi ambayo asilimia 95 ni jangwa!! Sasa mi niritegemea ujisikie vibaya hapa kuriko kujisifia na kujiona bora kwa vile umesifiwa na wenye lugha yao kwamba unajua kuiongea vzr! Mwafrika ni ngozi ya tako.
Kandarasi kubwa hapo kwenu, anafanya mchina, no hajuhi kizungu kama wewe, ila wewe na kizungu chako bado ni ombaomba hata kujilisha uwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo kiswahili ni cha wakenya au ZAMBIA??Ukweli siku zote haupingiki...watanzania wana lugha zao, we ukitaka lia sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli kuwaBwahahaaa!!mbna unateseka na ukwel waujua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Porojo nyiiingi sema kinakupiga chengaKiswahili sio lugha ya watanzania tena jamani...
Haya hzo "mother tongue" ni zipi?
Sent using Jamii Forums mobile app