Kenya ni habari nyingine, IGP mtarajiwa ahojiwa na kamati ya Bunge

Nenda Turkana Kenya - ndipo utaona yote hayo ni mbwembwe huko watu wanaishi kama stone age. Kuna ukame na hawajui msaada wa serikali! Mambo ambayo hayatokei Tanzania. Ni aibu,
Watu wanazungumzia democracy na mahakama wewe unaleta masuala ya ukame!!... What's your logic ??? Hii nchi ina misukule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apaaiya, supa roi? Koree iyee? Longidoni?
 
Bongo sharti la kwanza uwe kada na kadi ya ccm.tuna safari ndefu sana
 

[emoji16][emoji16][emoji16]but still uhuru alishinda tena.rufaa ilirenga nini!!!

Hivi nikikuita ng'ombe nitakukosea mkuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…