lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Watu wanazungumzia democracy na mahakama wewe unaleta masuala ya ukame!!... What's your logic ??? Hii nchi ina misukuleNenda Turkana Kenya - ndipo utaona yote hayo ni mbwembwe huko watu wanaishi kama stone age. Kuna ukame na hawajui msaada wa serikali! Mambo ambayo hayatokei Tanzania. Ni aibu,
Sent using Jamii Forums mobile app