Kenya, Pakistan, Peru, Djibouti, Ethiopia, USA, Somaliland waliwafukuza DP World kama mbwa

Breach clause is a must within contract incase of low performance, Govt tax theft / eviction and like unsocial act that endangered our national security!
 
Halafu tusifikiri usalama ni kushika bunduki tu!
 
Naona amani na utulivu unapotea kwa kasi nchini.Kisa waarabu.
 
Maandamano kwa sasa ccm imeshayazidi. Njia pekee ni viongozi wote waliohusika wale hizo rushw wakiwa shimon. Na hao waarab waendeshe bandari kweye bahari ya beseni sio Hindi.
Nchi ikae mikonon mwa Jwtz kwa muda.
Turudi kwenye kutumia consultants au wabia.
Mchango wa hali na mali na uanze kwa ajiri ya snipers, manati, mbombombo, mabom ya petrol, hijacking na majini.
List of shame tuanze na wabunge waliokataa shule kama msukuma na kibajaji.
 
Bila ridhaa ya Watanganyika Mwarabu haji Bandarini.
Akija atajuta na washirika wake.
 
Mkuu wa majeshi nae yupo bado ofisini ,kweli?

Mipaka ya nchi inavamiwa ,yeye yupo kakaa au alitaka waarabu waje na manuari zakijeshi ndipo washituke

Mkataba huu ,tayari ni manuari

ashituke
 
Halafu yupo mpuuzi moja kakazana kuwapotosha wavivu wa akili ndani ya chama chakavu kuwa DP wanaendesha bandari za USA na wao wanameza tu!
 
Bora waarabu wale pesa za bandari kuliko sirikali ya ccm kula pesa za bandari
 
Mkatataba utakuwa hai mpaka muda utakapoisha
 
Wapewe muda tuwatazame. Mwamaume usiogope vita ambayo bado haijapiganwa. Mbona kagame kawachukua na wanoperate big dry Port kule tangu 2019?

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Je wana operate kwa Mkataba wenye vigezo na masharti kama yetu???

Ishu ya msingi sio watu wanawakataa ishu ni condition za mkataba wanazokuja nazo
 
Hili halisameheki....Mungu atatuamulia WATANZANIA
Kwa hili tutamchosha Mwenyezi Mungu. Tunaliweza kwa kuendelea kushauri, kuandika, kuwa na msimamo, kuwakumbusha WABUNGE wetu jukumu lao la kutuwakilisha na siyo KUJIWAKILISHA
 
Wee jamaa muongo sana Ethiopia wana bandari upande gani ?
 
Akitoka madarakani atakuja kuomba msamaha kuwa alikosea
Wakulaumiwa nikina Lusinde na kina Msukuma+ jumlisha ma ccm yote. YALIKATAA RASIMU YA KATIBA YA WARIOBA ILIYOPENDEKEZA MBUNGE AWE NA ELIMU JAPO YA FORM 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…