Kenya, Pakistan, Peru, Djibouti, Ethiopia, USA, Somaliland waliwafukuza DP World kama mbwa

Kenya, Pakistan, Peru, Djibouti, Ethiopia, USA, Somaliland waliwafukuza DP World kama mbwa

Hizo nchi ziliwakataa hawa waarabu wa Dubai katakata na moja ya sababu kuu ni ulinzi wa nchi Yao kuwa hatarini na kuzuia ugaidi

Mikataba ya DP World niyaukandamizaji ila sisi tumewachukua, ivi hii mikataba ingekuwa ni mizuri Why hizi nchi walikataa kuingia nao mikataba wengine walivunja kabisa mikataba View attachment 2653117View attachment 2653118
Hiv mna habar Mama alisaini mikataba 31 cku zile kule Dubai? Na huu ni mmoja tu kati yake. Mmeshauzwa siku nyingi subir lifumke jingine.
 
Back
Top Bottom