Hizo nchi ziliwakataa hawa waarabu wa Dubai katakata na moja ya sababu kuu ni ulinzi wa nchi Yao kuwa hatarini na kuzuia ugaidi
Mikataba ya DP World niyaukandamizaji ila sisi tumewachukua, ivi hii mikataba ingekuwa ni mizuri Why hizi nchi walikataa kuingia nao mikataba wengine walivunja kabisa mikataba
View attachment 2653117View attachment 2653118