kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
- Thread starter
-
- #21
Ungekuwa makini shuleni, leo hii ungekuwa miongoni ya 1.1 million ambao wameshika passport na mikono zao.Katika hao 3.5 mil, 3 mil ni watumwa arabuni. Kwani mnafikiri hatujui!?
Ati tourists![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wakati passport yenyewe weak tu!
Kama mngekuwa kweli ni tourists passport yenu ingekuwa stronger than the TZ passport!
Acha kuniuliza maswali ya ushagoo.πWewe uko miongoni ya walio na passport? π π π πβ¦
Kwani nyie nchi maskini mkikimbilia huko nje mnaenda kutalii ama mnaenda utumwani. Yaani unalipa dollar 1000 ukatumikishwe kisa uishi maisha ambayo huyapati hapo Kenya so sad.
Sisi huku tunapenda kwetu maana hii nchi ya Tz haijawahi kutuangusha kimaisha.
There seems to be a huge shortage of people with disposable income in Tanzania.
Vast majority of Tanzanians have never left their country, cannot afford to and don't even own a passport.
Ata $1000 ya kutembea Dubai hamna jameni.
Sad situation. Mjikakamue kidogo.
View attachment 2508437View attachment 2508438View attachment 2508439
Mnoo. Alafu wana ka ushamba flani hivi, ile kasumba ya kuongea foreign language, kwenda foreign countries, kushobokea foreign music, foreign leagues. Woi. Arguing with them is a waste of time we in different levelsHawa nyangβau ni washamba sana.
Iko kwenye group gani la nchi tajiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni tajiri kuliko Tanzania.
Sasa huko uarabuni utumwani mnaenda kangalia nini jangwani?Bila hata kukujua, naweza sema wewe ni miongoni ambao passport wameona tu kwa mtandao. [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole maskini.
Kutembea na kutalii nje ya nchi unadhani ni kwa sababu 'hatupendi nchi yetu'. Tafuta hela uwache mafikra ya kijinga.
Passport yetu lazima idhibitiwe na mamlaka husika hutoi tu Passport hivihivi kama huna sababu ya msingi inayokufanya usafiri.Kupata passport Tanzania Kuna ukilitimba Sana..yaani Ni ujima mtupu
Na yenu ingekuwa wapi we ngedere!?1. Wakati upi mmoja Tanzania ikawa na passport ya nguvu kuliko Kenya.
2. Passport strength is calculated based on the countries you can enter visa free. Those are not bilateral agreements that come easy. After many years we now have one with South Africa.
Tanzania bila SADC na EAC (visa-free by default), kuna nchi ingine yoyote ambayo mko na agreement kama hii?
If you were not a member of SADC, passport ya TZ ingekuwa ligi moja na Yemen.