kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
- Thread starter
- #21
Ungekuwa makini shuleni, leo hii ungekuwa miongoni ya 1.1 million ambao wameshika passport na mikono zao.Katika hao 3.5 mil, 3 mil ni watumwa arabuni. Kwani mnafikiri hatujui!?
Lakini sasa kazi yako ni kupanguzia viatu na kufungulia gate walio na passport. 😂😂
Enda huko uarabuni. Labda utafunguka akili.