Kenya Passport Holders = 3.5 Million.., Tanzania Passport Holders = 1.1 million

Kenya Passport Holders = 3.5 Million.., Tanzania Passport Holders = 1.1 million

Katika hao 3.5 mil, 3 mil ni watumwa arabuni. Kwani mnafikiri hatujui!?
Ungekuwa makini shuleni, leo hii ungekuwa miongoni ya 1.1 million ambao wameshika passport na mikono zao.
Lakini sasa kazi yako ni kupanguzia viatu na kufungulia gate walio na passport. 😂😂

Enda huko uarabuni. Labda utafunguka akili.

maski.JPG
 
Ati tourists![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wakati passport yenyewe weak tu!
Kama mngekuwa kweli ni tourists passport yenu ingekuwa stronger than the TZ passport!

1. Wakati upi mmoja Tanzania ikawa na passport ya nguvu kuliko Kenya.

2. Passport strength is calculated based on the countries you can enter visa free. Those are not bilateral agreements that come easy. After many years we now have one with South Africa.

Tanzania bila SADC na EAC (visa-free by default), kuna nchi ingine yoyote ambayo mko na agreement kama hii?

If you were not a member of SADC, passport ya TZ ingekuwa ligi moja na Yemen.
 
Kwani nyie nchi maskini mkikimbilia huko nje mnaenda kutalii ama mnaenda utumwani. Yaani unalipa dollar 1000 ukatumikishwe kisa uishi maisha ambayo huyapati hapo Kenya so sad.

Sisi huku tunapenda kwetu maana hii nchi ya Tz haijawahi kutuangusha kimaisha.

Wanakimbilia uarabuni kusugua sufuria za “waiguru”. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni sababu tosha ya kuwafanya wakenya wengi kukimbia nchi yao
 
Bila hata kukujua, naweza sema wewe ni miongoni ambao passport wameona tu kwa mtandao. [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole maskini.

Kutembea na kutalii nje ya nchi unadhani ni kwa sababu 'hatupendi nchi yetu'. Tafuta hela uwache mafikra ya kijinga.
Sasa huko uarabuni utumwani mnaenda kangalia nini jangwani?
 
Kupata passport Tanzania Kuna ukilitimba Sana..yaani Ni ujima mtupu
Passport yetu lazima idhibitiwe na mamlaka husika hutoi tu Passport hivihivi kama huna sababu ya msingi inayokufanya usafiri.

Mfano mzuri tunaona majirani zetu wanavyotumkishwa na kufanyiwa ukatili huko uarabuni na serikali yao imekaa kimya tuu badala ya kulinda raia wake.

Sisi huku Tz mamlaka zetu hazitaki hali hiyo itokee kwa mtanzania yoyote yule na ndio maana hasa wanawake wakiwa na safari za uarabuni maswali yanakuwa mengi sana aidha uwe na consent ya mme ama mzazi.
 
1. Wakati upi mmoja Tanzania ikawa na passport ya nguvu kuliko Kenya.

2. Passport strength is calculated based on the countries you can enter visa free. Those are not bilateral agreements that come easy. After many years we now have one with South Africa.

Tanzania bila SADC na EAC (visa-free by default), kuna nchi ingine yoyote ambayo mko na agreement kama hii?

If you were not a member of SADC, passport ya TZ ingekuwa ligi moja na Yemen.
Na yenu ingekuwa wapi we ngedere!?
 
Back
Top Bottom