“This is the money that was intended to cushion Kenyans against this disease. But it has been stolen and stashed in overseas accounts,” said Mr Muthama even as the disease continues to decimate the global population and its economy.”
Hawa jamaa Wachoyo kweli , ela ya msaada ya wananchi wanachomoa wanafanya yao halafu hawaweki kenya wanairudisha Kwenye benki za wazungu, angalau hata wangeweka Kwenye benki za kenya wananchi wakakopeshwa.
Ndio maana wazungu wanaicheka Afrika kwa sababu ya viongozi wa aina hii