Kenya plans fees on TZ firms

Kenya plans fees on TZ firms

Mi nadhan tz is not the problem bali rais wetu magufuli is
But anyway lets wait and see
...
Tanzania is just a pain in the ass here in East Africa. They think they are too powerful and Kenya has been watching. Now it's time to make a come back cold war.
 
Hv tunatakiwa kushukuru au kudhihaki kwa kenya kununua mahindi yetu?
You import maize every other year, and when TZ bans exportation of the same prices skyrocket, what is wrong with your agriculture?
 
Planning o stratergy i guess
Duh!! ishakua hivyo hamna namna, am only surprised why has Kenyan government taken too long to respond to Tanzania's incessant whining and inferiority complex.
 
Mkuu unajua fika kuwa hii ni calculated move na Kenya haina balls za kuweka league na Tanzania..

1. Kenyans mmewekeza zaidi Tanzania kuliko watanzania walivyowekeza Kenya

2. Wakenya wengi wanafanya kazi Tanzania kuliko watanzania wanaofanya kazi Kenya

3. Ukiangalia saga zilizopita tena za mwanadiplomasia Kikwete ,utajua tu kuwa Kenya hamna muscles..huo ndo ukweli na sina ushabiki wa hili jukwaa lakini huu ndo ukweli mweupe
 
Wasiponunua hatuna altenative hata kuyanunua juweka kwenye ghala ya taifa hatuwez sasa who is more dependency?
Watz bana uwezo wetu wa kufikiria unatiaga sana shaka mkuu

Mkuu usiwe na kawaida ya kujumuisha watu katika majanga yako,mwenye uwezo wa kufikiri wenye shaka ni wewe labda na ukoo wako.

Kule kwenye korosho,serikali imezinunua bado mnapanua mamidomo na makelele,sijui mpewe mimba ndio mridhike???unalima mahindi gunia 60 unataka kuuza,ukiruhusiwa unauza zote mpaka unakosa chakula,what a f*ck!!!
 
Mkuu unajua fika kuwa hii ni calculated move na Kenya haina balls za kuweka league na Tanzania..

1. Kenyans mmewekeza zaidi Tanzania kuliko watanzania walivyowekeza Kenya

2. Wakenya wengi wanafanya kazi Tanzania kuliko watanzania wanaofanya kazi Kenya

3. Ukiangalia saga zilizopita tena za mwanadiplomasia Kikwete ,utajua tu kuwa Kenya hamna muscles..huo ndo ukweli na sina ushabiki wa hili jukwaa lakini huu ndo ukweli mweupe

Bro sisi ni manyang'au sio nchi ya kijamaa hivyo hatuendeshwi kwa visasi na hatufanyi kitu kisa ushabiki au kukurupuka, hatua zetu huwa calculated, tunajua jinsi ya kula na kipofu tena tunaishi naye kwa muda mrefu bila ya yeye kutushtukia. Ukiona Kenya imeweka hayo masharti ya nyie kulipia vibali, lazima wameikalia chini na kupiga mahesabu ya mbali.

Halafu sioni sababu za kwanini Watanzania walielie ilhali wao kwao kila tukija kufanya kazi huko huwa tunalipa vibali, tena gharama kubwa sana, halafu kikubwa hizi gharama makampuni ya Kitanzania ndio huishia kulipa.
 
Unyang'au wenu umewacost na kuwainua kwa kiasi kikubwa... Afrika mashariki mliitia kwapani na si kwa sababu mlikuwa mna uwezo mkubwa wa kiakili bali usingizi wa nchi nyingine zilizowazunguka , mlikuwa MONOPOLY kwa FOUL PLAY

Kwa sasa zama zimebadilika, kila nchi inachangamka na hili linatokea zaidi Tz..yeap mliita SLEEPING GIANT na matokeo ya ukuaji wake ni lazma myahisi.. it's natural mzee
 
Mkuu unajua fika kuwa hii ni calculated move na Kenya haina balls za kuweka league na Tanzania..

1. Kenyans mmewekeza zaidi Tanzania kuliko watanzania walivyowekeza Kenya

2. Wakenya wengi wanafanya kazi Tanzania kuliko watanzania wanaofanya kazi Kenya

3. Ukiangalia saga zilizopita tena za mwanadiplomasia Kikwete ,utajua tu kuwa Kenya hamna muscles..huo ndo ukweli na sina ushabiki wa hili jukwaa lakini huu ndo ukweli mweupe

1.wanaju ila wanatikisa kiberiti,walimzuia SSB wakidhani wanamuweza,kumbe wanazidi kuiweka tz safe kwenye vita baridi kibiashara.

2.hiyo pia wanajua,ila wanajifanya vichaa.

3.kenya hawajawahi kuwa na muscles,unajua kwanini??hawana rasilimali muhimu za kutegemewa kama taifa,so ni lazima waishi kiujanja ujanja-hii ni nzuri kama tu utaheshimu wenzako.

Unakumbuka ishu ya gari za utalii kutoingia JKNIA,unajua kilichofuata??siku zote wakijaribu hujikuta wanajipika kwa mafuta yao wenyewe.
 
Yeap ndo maana unaona matusi tu na zero facts..
Hata wakenya wakiondoa ligi ni dhahiri wanalijua hili, angalia nchi zinazowazunguka yaani hakuna jirani yao mwingine kama Tanzania
 
Back
Top Bottom