Tulipunguza safari za KQ toka 41 kwa wiki mpaka safari 7 UK alilia alipoutana na Magufuli AddisKabisa. Infact tit for tat is always a fair game. Kila trade barrier wametuwekea tuwawekee pia wao to the same extent hadi kieleweke.
Wakenya wanatuhitaji sana kuliko sisi tunavyo wahitaji