Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Kabisa. Infact tit for tat is always a fair game. Kila trade barrier wametuwekea tuwawekee pia wao to the same extent hadi kieleweke.
Sote tunajua ni nani. Jina lake linamalizia na PombeHahahaha, safi sana, kuna mmoja lazima atakaa tu
Kwani ninyi ni nani? Mungu? You are just another third world shit-hole Ldc country.Tulimliza mzungu akaja na ndege yake akataka yaishe itakua wewe masikini mweusi
Tanzania is just a pain in the ass here in East Africa. They think they are too powerful and Kenya has been watching. Now it's time to make a come back cold war.
How exactly! The only important nation to Kenya is UG. Infact Somalia is more important to Us than Tz.
You import maize every other year, and when TZ bans exportation of the same prices skyrocket, what is wrong with your agriculture?
Duh!! ishakua hivyo hamna namna, am only surprised why has Kenyan government taken too long to respond to Tanzania's incessant whining and inferiority complex.
Baadhi yetu wapinda vibaya.Supu na kasumba ya chama kikongwe inawachanganya.Hv tunatakiwa kushukuru au kudhihaki kwa kenya kununua mahindi yetu?
Baadhi yetu wapinda vibaya.Supu na kasumba ya chama kikongwe inawachanganya.
Mkuu unajua fika kuwa hii ni calculated move na Kenya haina balls za kuweka league na Tanzania..Duh!! ishakua hivyo hamna namna, am only surprised why has Kenyan government taken too long to respond to Tanzania's incessant whining and inferiority complex.
Wasiponunua hatuna altenative hata kuyanunua juweka kwenye ghala ya taifa hatuwez sasa who is more dependency?
Watz bana uwezo wetu wa kufikiria unatiaga sana shaka mkuu
Mkuu unajua fika kuwa hii ni calculated move na Kenya haina balls za kuweka league na Tanzania..
1. Kenyans mmewekeza zaidi Tanzania kuliko watanzania walivyowekeza Kenya
2. Wakenya wengi wanafanya kazi Tanzania kuliko watanzania wanaofanya kazi Kenya
3. Ukiangalia saga zilizopita tena za mwanadiplomasia Kikwete ,utajua tu kuwa Kenya hamna muscles..huo ndo ukweli na sina ushabiki wa hili jukwaa lakini huu ndo ukweli mweupe
Unyang'au wenu umewacost na kuwainua kwa kiasi kikubwa... Afrika mashariki mliitia kwapani na si kwa sababu mlikuwa mna uwezo mkubwa wa kiakili bali usingizi wa nchi nyingine zilizowazunguka , mlikuwa MONOPOLY kwa FOUL PLAYBro sisi ni manyang'au sio nchi ya kijamaa hivyo hatuendeshwi kwa visasi na hatufanyi kitu kisa ushabiki au kukurupuka, hatua zetu huwa calculated, tunajua jinsi ya kula na kipofu tena tunaishi naye kwa muda mrefu bila ya yeye kutushtukia. Ukiona Kenya imeweka hayo masharti ya nyie kulipia vibali, lazima wameikalia chini na kupiga mahesabu ya mbali.
Halafu sioni sababu za kwanini Watanzania walielie ilhali wao kwao kila tukija kufanya kazi huko huwa tunalipa vibali, tena gharama kubwa sana, halafu kikubwa hizi gharama makampuni ya Kitanzania ndio huishia kulipa.
Mkuu unajua fika kuwa hii ni calculated move na Kenya haina balls za kuweka league na Tanzania..
1. Kenyans mmewekeza zaidi Tanzania kuliko watanzania walivyowekeza Kenya
2. Wakenya wengi wanafanya kazi Tanzania kuliko watanzania wanaofanya kazi Kenya
3. Ukiangalia saga zilizopita tena za mwanadiplomasia Kikwete ,utajua tu kuwa Kenya hamna muscles..huo ndo ukweli na sina ushabiki wa hili jukwaa lakini huu ndo ukweli mweupe
Yeap ndo maana unaona matusi tu na zero facts..1.wanaju ila wanatikisa kiberiti,walimzuia SSB wakidhani wanamuweza,kumbe wanazidi kuiweka tz safe kwenye vita baridi kibiashara.
2.hiyo pia wanajua,ila wanajifanya vichaa.
3.kenya hawajawahi kuwa na muscles,unajua kwanini??hawana rasilimali muhimu za kutegemewa kama taifa,so ni lazima waishi kiujanja ujanja-hii ni nzuri kama tu utaheshimu wenzako.
Unakumbuka ishu ya gari za utalii kutoingia JKNIA,unajua kilichofuata??siku zote wakijaribu hujikuta wanajipika kwa mafuta yao wenyewe.
Hahahahaha, umepatia sana, yeye ni chapombe sana, mlevi wa chang'aa.Sote tunajua ni nani. Jina lake linamalizia na Pombe