Kenya plans fees on TZ firms


Kuna kitu huwa hamkielewi aidha kwa kujitakia au muna kaumbumbubu fulani, ifahamike kadiri mataifa yaliyotuzunguka yanaamka, na sisi tunasonga mbele, hatupo sehemu moja tunawasubiri. Leo hii Kenya ndio taifa pekee ukanda wote huu ambayo haipo ndani ya orodha ya mataifa maskini wa kutupwa, sisi tu ndio tumekidhi uchumi wa kati, ilhali Tanzania na ukubwa wake wote, na raslimali zake zote ipo imetajwa kama nchi maskini sana.
Kingine ambacho huwa hamkioni ni kwamba tofauti ya uchumi baina yetu imezidi kuongezeka, yaani Tanzania ya miaka ishirini iliyopita ilikua nafuu kuliko hii ya sasa maana tunazidi kuiacha mbali.
Ni kweli mataifa majirani wanazidi kuboreka, lakini kwa nyie itawachukua muda sana maana bado mumelemazwa na ujamaa wa Nyerere, japo mumejaribu kujitoa kutoka kwa hiyo laana lakini masalia yake bado yamewang'ang'ania na hapo ndipo mtihani ulipo, kabla mje kufaulu kutoka, mtakua mumechelewa sana.

Tanzania ya wakati wa Kikwete, kidogo mlikua na kamuamko fulani na kwa kweli hatua mlizokua mnaenda nazo haingechukua muda mrefu kabla hamjaanza kutunusia nusia nyuma yetu, lakini huu utawala wa leo full visasi na mikwara na matamko, utawachelewesha sana, maana hatua moja mbele halafu mbili nyuma, ndio mwendo wenu wa sasa.
 
Labor Minister Gaudensia Kabaka?

Naomba mwandishi kwa nia njema achunguze andiko hili maana , Gaudensia Kabaka anaondoa uhalali wa andiko zima
 
Bhasi wewe ndo hauna uelewa

Kenya ilikua kwa kuwatumia majirani zake na haikuwahi kukua kutokana na sababu za ndani yake na hivyo ukuaji wa majirani zake unatengeneza SUBSTITUTE YAKE... unadhani hii hali ni nzuri kwa Kenya

1. Tanzania ikiwa na national airline na watalii na bidhaa za Tanzania zikaacha kupitia jomo Kenyatta, unadhani Kenya inafaidika na ukuaji huu

2. Tanzania kukuza barabara na miundombinu yake hadi Uganda ikaanza kupata alternative route ya kutokupitia mombasa.. unadhani hii ni bora kwa KENYA

3. Tanzania ikikuza viwanda vyake na kupelekea kupungua kwa importation ya bidhaa za Kenya..unadhani hii ni faida kwa KENYA


na mifano inaendelea na kuendelea . Ni suala la muda tu ila nawasifu wakenya kwa kuendelea kuwekeza katika labour force hii ni nzuri sana na itawapa advantage zaidi kwa miaka ijayo
 

Hayo yote unataja maneno ambayo yametumika na Watanzania tangu enzi za mababu zenu, kila siku huwa mnasema 'Tanzania ikiwa' tukifanya, tutafanya, tukitimiza, tutatimiza......
Sisi tunaendelea kutanua, tunafungua masoko mapya kwa bidhaa zetu, kila hatua tunaipiga kwa kutumia mahesabu ya kinyang'au kwa kuangalia mbali sana.
Leo hii hatuwazi EAC pekee maana Afrika na dunia imekua kijiji na shamba la bibi, tumenyoosha na kurusha ndoana zetu mbali, kwa watu wa ujamaa hili hamuwezi kulielewa maana wengi mumedumazwa na kuwaza ndani. Bado mumedanganywa kwamba mtapiga hatua kwa kasi kwa kujifungia ndani.
 
Ndoana gani mnazozirusha labda njaa, ukabila na Wizi. [emoji14] [emoji14]
 
Forest of words ,desert of points...
Najua umenielewa ila Suit yourself mzee
 
Mkuu Nani kakwambi kuwa lazima ule unacholima? kwani hela ulizopata haziwezi kununulia chakula? Hebu kwanza niambie gunia moja la mahindi(90kg) mkulima anapata shilingi ngapi?
 
Mkuu Nani kakwambi kuwa lazima ule unacholima? kwani hela ulizopata haziwezi kununulia chakula? Hebu kwanza niambie gunia moja la mahindi(90kg) mkulima anapata shilingi ngapi?
Sasa mbona mnapokea chakula cha msaada toka Uarabuni, kwani wao wanalima?. Wao wana pesa tu, ninyi hizo pesa za chai ziko wapi?
 
Ujamaa sio laana kama ulivyofindishwa na mzungu. Ni ujima uliokuwepo kabla ya mkoloni kuja. Una faida zake na hasara zake. Mlioamua ubepari kuna mambo mmepungukiwa na sie ujamaa kuna mambo tumepungukiwa. Msiwe kama wavietnam waliaminishwa ukomunisti ni mmbaya wakauna ili kuua ideology hiyo. Be smart by african brother
 
Mi nadhan tz is not the problem bali rais wetu magufuli is
But anyway lets wait and see
...

Wakenya wanauza bidhaa zao hapa Tz kwa wingi mno, tit for tat kenya will suffer Tz also will suffer but not as them. U can compare this with China vs US trade war china sells about $500 B while US only $130 B. US is suffering but china is seriously suffers the same applied to Kny vs Tz
 
Our Agriculture is what makes Kenya a dominant economy in east Africa. Kenya has to feed its Citizens and also war torn Nations like Somalia, Sudan and Ethiopia! They run to us during hard times!
You import maize every other year, and when TZ bans exportation of the same prices skyrocket, what is wrong with your agriculture?
 
Sisi sio wazungu. Sisi ni Manyangau.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uliza Majirani wenzako kenya ndio kina nani. Infact Tanzania ni Maskini sana. Kenya is only dealing with Dar es salaam. Hio ndio Inchi ndogo inafaa kushugulikiwa, lakini sio kivita, Kiaiili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulimliza mzungu akaja na ndege yake akataka yaishe itakua wewe masikini mweusi
 
Yan sasa hiv kma unatoka tz unaenda kenya unapita bila vikwazo vingi. Kwenye kurudi sasa kwenye mpaka wetu unapekuliwa kama gaidi vile.
 
Our Agriculture is what makes Kenya a dominant economy in east Africa. Kenya has to feed its Citizens and also war torn Nations like Somalia, Sudan and Ethiopia! They run to us during hard times!
That's why you die of hunger, without food aid eve you wouldn't be alive to date.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…