Kenya Police Special Forces raid Alshabaab camp in Lamu

Magaidi waliuwa watu wangapi huko Mtwara? Naomba mupambane nao kabisa. Msiwaruhusu kuingia Tanzania
We kweli hamnazo,watu wanaingia kwa njia za panja utawazuiaje sasa,hata Marekani kwenyewe wamexico wanaingia kwa njia za panya na hawakamatwi itakuwa sisi,kuhusu idadi fuatilia vizuri, hata hiyo idadi uliyobrainwashiwa na media za ovyo ovyo ipo exergerated
 
We kweli hamnazo,watu wanaingia kwa njia za panja utawazuiaje sasa,hata Marekani kwenyewe wamexico wanaingia kwa njia za panya na hawakamatwi itakuwa sisi,kuhusu idadi fuatilia vizuri,hata hiyo idadi uliyobrainwashiwa na media za ovyo ovyo ipo exergerated
Serikali yenu ilishakubali kuwa kuna watu walioangamizwa. Serikali yenu ilitoa idadi gani?
 
ugaidi una mizizi mpaka us,kwenye most powerfully army,swala hapa ni kuuzuia usitokee,huwezi kupambana na magaidi wewe.
Kuzuia ugaidi usitokee ...Kuna njia nyingi.Sisi tumefanya preemptive operation.ambayo ilikuwa intelligence led.
 
sawa.

hakukuwa na haja ya kupiga picha na kuwaringishia namna hiyo.
 
Migaidi yalikuwa yamepewa jukumu la kusafirisha visu , Visu hivyo zilitakiwa kutumiwa na magaidi kuwakata vichwa raia katika maeneo ya North Eastern.
They are just having a taste of their own medicine.
 
Kwa hivyo unahisi huruma kwa hawa magaidi? Eti humanity? Magaidi wana humanity gani? Magaidi sio watu hao ni mbwa mwitu na wanastahili kuangamizwa bila huruma. Hata hakuna haja ya kuwatia mbaroni, hao wanastahili kupigwa marisasi mara moja. Nyie Watanzania mnapenda kushabikia ugaidi sana. Mnasupport magaidi sana.
Sijakataa wao kuuwawa..nachozungumzia Ni nyie kufanya vitendo Kama wanavyofanya magaidi... Kuna Sheria za mapigano zinazofuatwa na watu waliostaharabika...yule alifanya akiwa na akili zake timamu..Sasa kwanini muifanyie matendo mabaya mwili ambao hauna uhai Hadi mpige selfie na maiti? Hayo Ni matendo ya watu wasiostaarabika...nawashauri pia muwachome au muingilie kimaumbile hiyo miili au muichome mishikaki if mnaona matendo hayo yanafaa kwakuwa waliwafanyia nyie ubaya.
 
Wewe endelea kulia kuhusu miili za mashetani. Kama unazitaka tunaweza kupa maana inaonekana unajali sana hizo miili.
 
CNN ilionyesha picha ya shambulio la kigaidi Nairobi, wakenya wote wakapiga kelele na kutaka CNN waombe radhi, hawa jamaa ni wanafiki sana
 
Wewe endelea kulia kuhusu miili za mashetani. Kama unazitaka tunaweza kupa maana inaonekana unajali sana hizo miili.
Mbona ninyi mlilalamika pale picha za miili ya watu waliouliwa na magaidi Nairobi zilipoonyeshwa na media za nje?
 
Ichomeni mishikaki..au muile mande ili hasira zenu ziishe
 
Mbona ninyi mlilalamika pale picha za miili ya watu waliouliwa na magaidi Nairobi zilipoonyeshwa na media za nje?
Hiyo ilikuwa miili za watu innocent wasio na makosa. Hii hapa ni miili za magaidi. Kuna tofauti kubwa hapo. Endeeleeni kulia kuhusu miili za magaidi. Zinastahili zinyofolewe uume kisha uume utupiwe umbwa.
 
Wewe endelea kulia kuhusu miili za mashetani. Kama unazitaka tunaweza kupa maana inaonekana unajali sana hizo miili.
Hawa bongolalas are a funny lot, mara al shabaab are defeating us, now if we show them evidence wanaanza kua sympathetic na al shabaab, this are AP Special forces and not military, hizo mshikaki si wakule wenyewe
 
Vikosi vya Kenya Police Special forces ( AP SOG and BPU) vilivamia kambi ya wanamgambo wa Alshabaab huko Boni forest,Lamu county.

Magaidi hawa hutumia upana wa msitu huu kufanya mashambulizi yao katika huu msimu wa Krismasi na January kisha kukimbilia Somalia na kurudi wakati wa Iddi tena huko June/July.

Tuliwaambia nyinyi mataga wa ccm na kwamba hamko combat tested, combat experienced or combat proven. Vita vya Kagera visiwadanganye kwamba mwaeza tisha yeyote hapa East Africa.

Mkishindwa huko Mtwara, mtuite tumalize hio kazi
Hivi ni Hawa,au!?
FB_IMG_1608024543745.jpg
 
Kama mna hamu Sana na sisi si mvamie hata kasehemu huko mpakani namanga ,sirari au horohoro

Halafu tucheze mchezo hao vibaka wa alishabab hawana hata fighting skills ndio mnajidai
 
Back
Top Bottom