KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017

Nilitegemea kupata athari za odinga kujitoa katika uchaguz lakini hujatoa hata moja!
Kwa Raila kujitoa maana yake uchaguzi uliopangwa tarehe 26.10.2017 hautafanyika na badala yake uchaguzi mpya utaitishwa baada ya siku 90 utakaotanguliwa na vyama kuchagua wagombea.

Ujinga kweli kweli, bajeti nzima ya mwaka huu wa fedha wataitumia kwenye chaguzi ambazo hazina mwisho maana hata huo uchaguzi ujao anaweza kujitoa tena mwishoni.
 
Kaamua kumuachia fisi mfupa? Katiba yao inasemaje kama mgombea mmoja akijitoa kwenye 2nd run baada ya ile ya kwanza kufutwa?
 
Kenya haitatawalika tena,

Uhuru atatawala kwa wakikuyu

na wakalenjin tu, naiona kenya

ikipasuka
hlafu huko kwimgine nani atatawala? raisi ni mmoja tu na yeye ndiye mwenye funguo wa hazina sasa mkikaa kusema hatumtambui uhuru nani mwingine atawaletea maendeleo?
 
Ana point, huwezi shiriki tena uchaguzi wakati wale waliounajisi bado kwa nafasi zao, ukifanya hivyo utakuwa dhaifu mno, ni bora utoke.
 
Yaani upinzani bhwana uchaguzi wa haki ni ule wanaoshinda au wanaotarajia kushinda Wakiona hakuna uwezekano wanatafuta sababu haya akisusa wenzake watakula
 
hlafu huko kwimgine nani atatawala? raisi ni mmoja tu na yeye ndiye mwenye funguo wa hazina sasa mkikaa kusema hatumtambui uhuru nani mwingine atawaletea maendeleo?
Kaka subiri uone mchezo I feel very sory for UK
 
Aliposhindwa alienda mahakamani na akashinda kesi na uchaguzi ukaamuliwa urudiwe.Hilo ni jambo la kidemokrasia na nililipenda

Kilichonichosha ni kitendo cha yeye kutangaza kujitoa kupitia media na kuitisha maandamano

Najiuliza:
+Sasa kama amejitoa si anabaki kuwa raia Wa kawaida , sasa anaandamana kama nani?!
+Watu Wa tume wako kwa mujibu Wa sheria,sasa watabadikishwaje ghafla hivi bila vikao vya bunge?!

Najaribu tu kuwaza
 
Ana point, huwezi shiriki tena uchaguzi wakati wale waliounajisi bado kwa nafasi zao, ukifanya hivyo utakuwa dhaifu mno, ni bora utoke.
Maalim Sefu ajifunze kwa Raila jinsi alivyoweka mpira kwapani
 
Tanua ubongo wako japo kidogo uone yaliyomo

usikubali ubongo wako uwe kama bumunda.
Hujui lolote lile wewe akili mgando.. Raila ndo alitaka sana uchaguzi urudiwe sasa hivi yeye anachomoa na aliyoyata asilimia kubwa yamefanywa. Sasa huoni hizi bilioni 12 ambazo zingeweza kutumika kufanya mambo mengine. Yeye angekataa toka mwanzo?

Kwa taarifa yako katiba ya Kenya haizuii kutofanyika uchaguzi.
 
Raila anafanya vurugu tu, kwa vyovyote hawezi shinda uchaguz Kenya yote labda kwao Kaunti ya Kisumu
 
Kama hana imani na tume basi kafanya jambo jema [kama habari ni ya kweli].

Huku kwetu CHADEMA huwa wanashiriki chaguzi za NEC halafu wakishindwa wanaanza kudai tume haiko huru.
Vyama vya upinzani kama vingesusa chaguzi zote tangu hiyo 1995, unafikiri ingesaidia kukuza demokrasia ya nchi yetu.
 
Kama hana imani na tume basi kafanya jambo jema [kama habari ni ya kweli].

Huku kwetu CHADEMA huwa wanashiriki chaguzi za NEC halafu wakishindwa wanaanza kudai tume haiko huru.
Aje kushiriki tucta mwezi ujao kama huo autaki
 
Subiri maandamano yake sasa,aliyeitwa Baba wa demokrasia anaenda kuipaka mavi CV yake kwa kutumia polisi.
UK kama namuona vile anavyomchukia Le Dokta Vijembe wetu maana ni kama RAO anapata kiburi toka sehem fulan nchin
 
Jamaa kachungulia kaona atapigwa tena mchana kweupe!
 
A very wise decision. But I thought they would have designated another one rather than the unpopular Kalonzo. There isn't much time enough to popularize Kalonzo. So, Uhuruto are back, me thinks.
Kalonzo wanamuita WATER MELON (nje kijani, ndani nyekundu) nadhani devil approaches zifuatazo zaweza tumika.
1. Pesa itumike kumnunua Kalonzo.
2. MANATI YA MZUNGU itumike ipasavyo kupunguza kadhia hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…