tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Ukisikia kumsusia Nguruwe shamba la miwa ndio uko.
Hawakatazwi kuandamana kwa mujibu wa katiba.Umesoma vizuri lakini alichosema Odinga, amehamasisha pia wafuasi wake waandamane unajua
Kwa hapa Tanzania upinzani wana imani na nini kati ya hivyo ulivyovitaja?Wewe humjui huyu jamaaa.Kila kitu kwake ni malalmiko,kuanza vitisho na kuchochea.Hakuwa na imani na tume ya uchaguzi ,hana imani na KDF ,hana iamani na jeshi la polisi ,hana imani na chochote serikali inachofanya na hii tume mpya ndiye alifanya ichaguliwe juzi ati sababu hakuwa na imani na ile tume ilyovunjwa.
Mwenzenu anajitoa kwakuona hakuna lolote atakalopata chini ya tume ileile.. Ninyi mnashiriki alafu bado mnalalamaKila jambo kuhusisha chadema ni sawa na kichaa , ukabila usikupumbaze kiasi hicho mkuu , iko siku utakuja kutuomba radhi mjomba .
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Namuona jecha ndani ya KQ to Nai kupeleka xperience yake[emoji23][emoji23][emoji23]
kazi ipovizuri tu kachekecha kaona ataanguka mara mbili ya pale
Fuatilia vizuri toka apate ushindi mahakamani kama alikuwa ni mgombea wa kweli au sanaa tu kwasababu alijuwa atashindwa tena!Alichofanya ni sahihi kabisa kama hana imani na tume ya uchaguzi.
Jambo ambalo nimekuwa nikiwashauri wapinzani wa Tanzania kwa muda mrefu.
Kwa nini mtu ushiriki uchaguzi unaoendeshwa na tume ambayo huna imani nayo?
Ni nchi pia ya waMeru .Sisi jamii ya waMeru na ndugu zetu waKikuyu tumetokea mlima Kenya tuko kama chanda na pete.Kenya ni nchi ya Wakikuyu....Kumtoa Mkikuyu kuongoza Kenya ni ndoto za mchana..
Yule bwana alishindwa ktk chaguzi za ngazi zote! Aliokolewa na mahakama iliyo amua kesi kwa misingi ya ukabila. Toka day one baada ya hukumu hajawahi kuonyesha kama atagombea sasa anaelewa kwamba alishindwa kihalali. Tatizo lake ni kuendelea kuwadanganya Wajaluo wenzake anaweza kushinda urais huku akiwatukana Wakikuyu na washirika wao!Nilitarajia Raila sio kichaa na nikweli sio kichaa.
Ukichaa= Kufanya jambo lilelile kwa njia zilezile ukitarajia matokeo tofauti.
Kama tatizo ilikua ni uwajibikaji wa tume kusimamia uchaguzi kwa mujibu wa sheria , ni nini kilisababisha mwanzo wasiwajibike na kuufanya uchaguzi uishe kwa haki?
Ili uchaguzi uwe wa haki lazima washiriki wa uchaguzi wawe na imani na wasimamizi wa uchaguzi la si hivyo tutaona matatizo makubwa punde baada ya uchaguzi.
Ukiona tume sio huru na hauiamini ukaingia kwenye uchaguzi ili ukiisha uchaguzi uanze kulalamika huo ni utoto na ni upotevu wa nguvu bila msingi.
That's a lame excuse.Fuatilia vizuri toka apate ushindi mahakamani kama alikuwa ni mgombea wa kweli au sanaa tu kwasababu alijuwa atashindwa tena!
Kumbe Moi naye alikuwa mkikuyu!??Kenya ni nchi ya Wakikuyu....Kumtoa Mkikuyu kuongoza Kenya ni ndoto za mchana..