Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa lazima walie sana au watapita kimia kimiaWatakuja hapa kupiga porojo na kujiita middle income
Yesss. Tupo hapa...Watakuja hapa kupiga porojo na kujiita middle income
We achatu. Nipo na report nyingi za kwao. Ngoja tuanze nahii. Middle income haiyendani na uwalisia. Serikali yakenya ipo tiyali kutengeneza matokeo ionekane iko vizuri. Nahicho ndokinawagharimu sana. Hawataki kuludi kwenye misingi, bora liende.wakija hapa wanajifanya wapo vizuri kumbe ni shida tupu wakenya bwana
Yes, I know that, but look at his title....YOUTH OF WORKING AGE... soma vzr kifupi your so jobless dats y mmejazana mitandaoni kubishana kumbe mnatoA stress za ujobless... Majinga nyieee
You are very funny. In general the Kenyan unemployment rate is three times than UG and TZ. Kwa hiyo pia Kenya kuna unemployment rate kuanzia age 35 hadi 60 of age.?? Kama nihivyo walikosea ilibidi iwe 5 times of TZ. Hivi sasa hapo unajitetea nini?? Unataka nishushe tweet za wakenya wenzio? Pole japo ngumu kumeza o
Can you compare your GDP with ours?? Pilikumbukeni matajari wameishikilia Kenya yote pia aridhi Kenya for development nijanga jingine. Kwenye hii report hauna cha kujitetea. Sababu zahiyo unemployment wamezielezea mwishoni. Kwa sasa inabidi utwambie ni solution zipi mnakuja nazo kulikokuendelea kujitetea. Hii sindano sio ndogo mkuu. Imeingia sehemu mbaya sana.The report has talked about youth unemployment, and there is the undisputable evidential report u have displayed there. Where is your evidence about the majority of the 35 to 60 year olds being unemployed?
Why then is the Kenyan economy working? Who is running it?
The report has talked about youth unemployment, and there is the undisputable evidential report u have displayed there. Where is your evidence about the majority of the 35 to 60 year olds being unemployed?
Why then is the Kenyan economy working? Who is running it?
Is that man a reliable authority on these matters?Cs
Can you compare your GDP with ours?? Pilikumbukeni matajari wameishikilia Kenya yote pia aridhi Kenya for development nijanga jingine. Kwenye hii report hauna cha kujitetea. Sababu zahiyo unemployment wamezielezea mwishoni. Kwa sasa inabidi utwambie ni solution zipi mnakuja nazo kulikokuendelea kujitetea. Hii sindano sio ndogo mkuu. Imeingia sehemu mbaya sana.View attachment 532769
Hivi uko Kenya mnaishi vipi.?? Unajua TZ nivigumu kukuta watu wamekaa kwenye viti vya city park mida ya kazi lakini kupitia Kile kipindi cha NASWA huwa naona wakenya wengi kwenye city park sikuzakazi.Kumbe tatizo ni unemployment

Wewe jamaa unajichosha sana. Hapa tunapata news day after day.
Anayeitwa masikini kenya anapelekana sako kwa bako na middle class wa kwenu kwenye kipatoWatakuja hapa kupiga porojo na kujiita middle income