Kenya rate of unemployment is three times that of Tanzania and Uganda also the highest in the world

Anayeitwa masikini kenya anapelekana sako kwa bako na middle class wa kwenu kwenye kipato
Umeandika lugha gani hiyo. Au kiluya umeandika. Andika kiswahili nikuelewe.

Wewe jamaa unajichosha sana. Hapa tunapata news day after day.

Kuhusu matatizo ya Kenya tu, na ya kwenyu hamna habari nayo?

ophi.bmp

Haya, 90% of Tanzanians live below 1$ a day, according to the graph, the highest in Africa. Hapo hakuna kupinga.

Tatizo lako ni kwenda off topic. Yaani unaonekana kama kichaa vile. Hapa tunaongelea jambo tofauti kabisa halafu wewe unakuja kulialia na mambo tofauti kabisa na thread. Kwani umeshindwa kuanzisha thread kuhusu malalamiko yako haya ili tukusaidie kukuelewesha!? Anzisha thread kuhusu malalamiko yako haya na sisi wataalamu tutakuelewesha vizuri tu.

Kuhusu matatizo ya Kenya tu, na ya kwenyu hamna habari nayo?

ophi.bmp

Haya, 90% of Tanzanians live below 1$ a day, according to the graph, the highest in Africa. Hapo hakuna kupinga.
And you know it is not realistic,
Actually you guys mnakufa na tai shingoni,
Mkikubali mapungufu yenu ni rahisi kujirekebisha.
Don't be that juvenile.

Kuhusu matatizo ya Kenya tu, na ya kwenyu hamna habari nayo?

ophi.bmp

Haya, 90% of Tanzanians live below 1$ a day, according to the graph, the highest in Africa. Hapo hakuna kupinga.
So you are trying to demonstrate that we're the poorest in Africa, Burundi, DRC majority use more than one dollar are better than Tz.
I tried to tell you these statistics especially concerning Tz usiziamini sana, unaleta kituko hapa.
Haya hakuna kupinga.

Hii ni kweli, hawa jamaa huwa na umaskini mkubwa sana, kitu ambacho huwa kinawaokoa ni kwamba wana ardhi kubwa na yenye rotuba 100% hivyo vijana wengi hawakosi ajira. Asilimia 80% ya ajira Tanzania inatokana na ukulima, kwetu kinachotuponza ni kwamba tuna ardhi ndogo yenye rotuba, hivyo nguvu kazi (human resource) yetu nyingi ipo kwenye viwanda.

unadhani huku wote wanalima.......acha ushamba..........

Jadili mada kitaalam, nyie mna viwanda vigani vya kutoa ajira wakati mnaagiza hadi sindano. Pipi tunawauzia sisi kutoka kwenye viwanda vyetu.
Nafuu yenu ni kwamba mna ardhi kubwa hivyo vijana wanapata mahali pa kutolea msongo wa mawazo. Japo ukulima wenyewe ni wa kiumaskini maskini tu maana mnaishia kuwa na chakula basi, mengine yanabaki kuwa stori maana nchi yenu bado ipo inatajwa kwenye orodha za mataifa maskini wa kutupwa.

Ardhi yenu hiyo mngeitumia vizuri na kuifanyia ukulima biashara wa kisasa, aisei Afrika mngeitawala.

wacha kujidanganya ......hayo mambo unayoyazungumza ni yakizamani sana siyo sasa........tatizo lenu wakenya mnaishi kwa kukariri na hiyo ndiyo furaha yetu kwani mambo yanaenda kimya kimya.......kwa kuwa umejihisi na kujiona wewe umetoa hoja kitaalam hebu lete hapa uthibitisho wa document unaoonhesha tanzania imenunua pipi na sindano kutoka kenya na ni mwaka gani?.....maana unaleta propaganda za kitoto

Jadili mada kitaalam, nyie mna viwanda vigani vya kutoa ajira wakati mnaagiza hadi sindano. Pipi tunawauzia sisi kutoka kwenye viwanda vyetu.
Nafuu yenu ni kwamba mna ardhi kubwa hivyo vijana wanapata mahali pa kutolea msongo wa mawazo. Japo ukulima wenyewe ni wa kiumaskini maskini tu maana mnaishia kuwa na chakula basi, mengine yanabaki kuwa stori maana nchi yenu bado ipo inatajwa kwenye orodha za mataifa maskini wa kutupwa.

Ardhi yenu hiyo mngeitumia vizuri na kuifanyia ukulima biashara wa kisasa, aisei Afrika mngeitawala.
leta uthibitisho wa kitaalam unaousema kwa document wa hizo pipi na sindano tulizonunua toka kwenu

Jadili mada kitaalam, nyie mna viwanda vigani vya kutoa ajira wakati mnaagiza hadi sindano. Pipi tunawauzia sisi kutoka kwenye viwanda vyetu.
Nafuu yenu ni kwamba mna ardhi kubwa hivyo vijana wanapata mahali pa kutolea msongo wa mawazo. Japo ukulima wenyewe ni wa kiumaskini maskini tu maana mnaishia kuwa na chakula basi, mengine yanabaki kuwa stori maana nchi yenu bado ipo inatajwa kwenye orodha za mataifa maskini wa kutupwa.

Ardhi yenu hiyo mngeitumia vizuri na kuifanyia ukulima biashara wa kisasa, aisei Afrika mngeitawala.
you talk point on fleek MK254
thus why we have uncle magu who aims at bringing Tanzania where its supposed to be
coz we've been played vya kutosha na corrupt leaders ambao wali_aim kujitunisha vitambi vyao and now on wame_succeed
this magufuli ambaye most of Kenyans mnamuona ni dictator ila kwetu is a good guy, coz amefanya vitu vingi mno for a very short period of time
he brings a discipline at wprk , coz lack of it ndo source ya maendeleo endelevu..

thanks MK254 kwa kutambua rasilimali zilizoko Tanzania can make this country better than any one in the continent the main problem is determination and Neo colonialism

Jadili mada kitaalam, nyie mna viwanda vigani vya kutoa ajira wakati mnaagiza hadi sindano. Pipi tunawauzia sisi kutoka kwenye viwanda vyetu.
Nafuu yenu ni kwamba mna ardhi kubwa hivyo vijana wanapata mahali pa kutolea msongo wa mawazo. Japo ukulima wenyewe ni wa kiumaskini maskini tu maana mnaishia kuwa na chakula basi, mengine yanabaki kuwa stori maana nchi yenu bado ipo inatajwa kwenye orodha za mataifa maskini wa kutupwa.

Ardhi yenu hiyo mngeitumia vizuri na kuifanyia ukulima biashara wa kisasa, aisei Afrika mngeitawala.
Watu wenye ardhi na kujihusisha katika kilimo huorodheshwa kama wako employed, na je, wale wanaofanya kazi za vibarua pia hourodheshwa kama wako employed?

Kazi imekuwa chache Kenya, vijana wengi hugeukia casual jobs ama kujiajiri wenyewe, kwa hivyo hawa wasifikiri ina maana hawa vijana wapo tu hawajihusishi katika shugli zingine za kujipatia hela.

http://www.theeastafrican.co.ke/bus...g-countries-/2560-3140688-10dr5p5z/index.html

Jadili mada kitaalam, nyie mna viwanda vigani vya kutoa ajira wakati mnaagiza hadi sindano. Pipi tunawauzia sisi kutoka kwenye viwanda vyetu.
Nafuu yenu ni kwamba mna ardhi kubwa hivyo vijana wanapata mahali pa kutolea msongo wa mawazo. Japo ukulima wenyewe ni wa kiumaskini maskini tu maana mnaishia kuwa na chakula basi, mengine yanabaki kuwa stori maana nchi yenu bado ipo inatajwa kwenye orodha za mataifa maskini wa kutupwa.

Ardhi yenu hiyo mngeitumia vizuri na kuifanyia ukulima biashara wa kisasa, aisei Afrika mngeitawala.
na huu ni baadhi ya viwanda......vinavyofanya kazi na vilivyo under contruction.......asa wewe endelea kujidanganya na hizo pipi na sindano mwisho wa siku tunakucheka tu hebu soma hapo

Attachments

So you are trying to demonstrate that we're the poorest in Africa, Burundi, DRC majority use more than one dollar are better than Tz.
I tried to tell you these statistics especially concerning Tz usiziamini sana, unaleta kituko hapa.
Haya hakuna kupinga.
Lol! It is not my statistic!

Why should we doubt the negative reports abt Tanzania, but believe the ones about Kenya?

Jadili mada kitaalam, nyie mna viwanda vigani vya kutoa ajira wakati mnaagiza hadi sindano. Pipi tunawauzia sisi kutoka kwenye viwanda vyetu.
Nafuu yenu ni kwamba mna ardhi kubwa hivyo vijana wanapata mahali pa kutolea msongo wa mawazo. Japo ukulima wenyewe ni wa kiumaskini maskini tu maana mnaishia kuwa na chakula basi, mengine yanabaki kuwa stori maana nchi yenu bado ipo inatajwa kwenye orodha za mataifa maskini wa kutupwa.

Ardhi yenu hiyo mngeitumia vizuri na kuifanyia ukulima biashara wa kisasa, aisei Afrika mngeitawala.
charles-mwijage-jpg.424435

Kuelekea uchumi wa viwanda nchini, serikali imefanikiwa kufufua na kuanzisha viwanda ambapo kwa sasa vinavyofanya kazi vipo zaidi ya 52,000. Sekta hiyo pia imetajwa kuwa inatarajia kukuza uchumi wa watanzania asilimia 40.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maonesho ya viwanda Tanzania yanayotarajiwa kufanyika katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam kuanzia Disemba 7 hadi 1, 2016.

“Kuelekea ujenzi wa uchumi wa viwanda, nilipewa maelekezo kufanya mambo matatu, ikiwemo uhakikisha vilivyopo ambavyo vingi vilikuwa vinazalisha chini ya kiwango vinaongeza uzalishaji, pili vilivyobinafsishwa ambavyo havifanyi kazi vinafanya kazi na la mwisho nilipewa agizo la kuhakikisha wekezaji wa ndani na nje ya wanakuja kuwekeza,” amesema na kuongeza.

“Katika kipindi cha mwaka mmoja tangu serikali hii iingie madarakani, kuna viwanda 52,000 vinafanya kazi na kwamba asilimia 40 ya watanzania uchumi wao utatokana na viwanda.”

Aidha, Mwijage amesema Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kupitia taasisi yake ya Mamlaka na Maendeleo ya Biashara Tanzania, imeandaa maonesho yatakayokutanisha wadau wa sekta ya viwanda kwa lengo la kutangaza pamoja na kujadili fursa za masoko ya ndani na nje ya nchi.

Amesema maonesho hayo pia yatatoa taswira ya juhudi za ujenzi wa viwanda katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

Chanzo: Dewji Blog

Back
Top Bottom