Kenya rate of unemployment is three times that of Tanzania and Uganda also the highest in the world

Lol! It is not my statistic!

Why should we doubt the negative reports abt Tanzania, but believe the ones about Kenya?
Chalii ni aje! kwani kutumia chini ya dola hizo inamaanisha nini, because our economy is second after yours in EAC, you tell me how comes in that graph of yours Burundi is better than us interms of dollars and we're above them economically. Think my friend, beyond patriotism.

So you want us to believe like you, that your employment rate is very well, better that Tz and Ug, and those guys are lying. Haya hakuna kupinga
 
Twambie hii report ya mwaka gani??
Kuhusu matatizo ya Kenya tu, na ya kwenyu hamna habari nayo?

ophi.bmp

Haya, 90% of Tanzanians live below 1$ a day, according to the graph, the highest in Africa. Hapo hakuna kupinga.
 
Hiyo nguvu kazi nyingine ya three times mbona utwambii iko wapi?? Nayo ipo kwenye viwanda?? Naomba usome mwisho wa hiyo report ilimjue tatizo mkalifanyie kazi
Hii ni kweli, hawa jamaa huwa na umaskini mkubwa sana, kitu ambacho huwa kinawaokoa ni kwamba wana ardhi kubwa na yenye rotuba 100% hivyo vijana wengi hawakosi ajira. Asilimia 80% ya ajira Tanzania inatokana na ukulima, kwetu kinachotuponza ni kwamba tuna ardhi ndogo yenye rotuba, hivyo nguvu kazi (human resource) yetu nyingi ipo kwenye viwanda.
 
Jadili mada kitaalam, nyie mna viwanda vigani vya kutoa ajira wakati mnaagiza hadi sindano. Pipi tunawauzia sisi kutoka kwenye viwanda vyetu.
Nafuu yenu ni kwamba mna ardhi kubwa hivyo vijana wanapata mahali pa kutolea msongo wa mawazo. Japo ukulima wenyewe ni wa kiumaskini maskini tu maana mnaishia kuwa na chakula basi, mengine yanabaki kuwa stori maana nchi yenu bado ipo inatajwa kwenye orodha za mataifa maskini wa kutupwa.

Ardhi yenu hiyo mngeitumia vizuri na kuifanyia ukulima biashara wa kisasa, aisei Afrika mngeitawala.
Niyembona hadi T shirt zakuzindua SGR Mme nunua Tanzania?? Tuonyeshe hizo sindano zikiwa Tanzania
cf960460d00b979518676922f175b217.jpg
98cd99aaac83ae6cd559f0287c813424.jpg
98cd99aaac83ae6cd559f0287c813424.jpg
 
Mabomba ya maji mnaagiza kutoka Tanzania. Kama mnajiamini fungueni Uzi ya viwanda vilivyojengwa ndani ya miaka miwili kati ya Kenya na Tanzania. Mnaviwanda gani vyakututisha
Screenshot_2017-06-29-22-12-18.png
Jadili mada kitaalam, nyie mna viwanda vigani vya kutoa ajira wakati mnaagiza hadi sindano. Pipi tunawauzia sisi kutoka kwenye viwanda vyetu.
Nafuu yenu ni kwamba mna ardhi kubwa hivyo vijana wanapata mahali pa kutolea msongo wa mawazo. Japo ukulima wenyewe ni wa kiumaskini maskini tu maana mnaishia kuwa na chakula basi, mengine yanabaki kuwa stori maana nchi yenu bado ipo inatajwa kwenye orodha za mataifa maskini wa kutupwa.

Ardhi yenu hiyo mngeitumia vizuri na kuifanyia ukulima biashara wa kisasa, aisei Afrika mngeitawala.
 
Usicheke kama jirani yako analala njaa, yawezekana njaa yake ikafanya hata hicho chakula chako kisiwepo tena
 
Hahaa. Uhuru kasema wakimwongezea miaka mitano ataiyongoza Kenya kama Magufuli
Screenshot_2017-06-29-14-13-44.png
 
Hii ni kweli, hawa jamaa huwa na umaskini mkubwa sana, kitu ambacho huwa kinawaokoa ni kwamba wana ardhi kubwa na yenye rotuba 100% hivyo vijana wengi hawakosi ajira. Asilimia 80% ya ajira Tanzania inatokana na ukulima, kwetu kinachotuponza ni kwamba tuna ardhi ndogo yenye rotuba, hivyo nguvu kazi (human resource) yetu nyingi ipo kwenye viwanda.

Kuhusu matatizo ya Kenya tu, na ya kwenyu hamna habari nayo?

ophi.bmp

Haya, 90% of Tanzanians live below 1$ a day, according to the graph, the highest in Africa. Hapo hakuna kupinga.

Dude! Sometimes uwe unaacha kujiaibisha kwa kupost vitu vya mwaka 1947 af unaita eti latest report!

Kwa taarifa yako population below poverty line kwa Tanzania ni 22.8% based on 2015 survey!

Hebu angalia na ya kenya ni ngapi maana inaonekana huijui! naona 43.4% sijui ni ya nchi gani vile hapa EAC

The World Factbook — Central Intelligence Agency
 
hao wanajifanya hawaelewi........
wanajiita middle economy wakati uchumi ni wawekezaji ,na wanasiasa wachache wa kenya kwenye uhalisia wa mtu mmoja mmoja ni njaa poor poverty kwa kenya
 
Sasa umeleta huu uzi ili iweje ili serekali yetu ya tz iache kuajiri kisa wakenya wengi hawana kazi ukilinganisha na kwetu, tumechoka na uhakiki usioisha chamsingi serekali inatakiwa iajiti tu na si kuleta porojo hapa, me nahisi hizi takwim wamezichukua wap coz vijana wengi sikuhizi hawana kazi zisizo rasmi. Nahisi watakuwa wamehesabu na wamachinga waliojaa mtaani kuwA na wenyewe wanaajira ambazo hazina tija kwa serekali, serekali iajiri tu tuache porojo bana
 
hao wanajifanya hawaelewi........
wanajiita middle economy wakati uchumi ni wawekezaji ,na wanasiasa wachache wa kenya kwenye uhalisia wa mtu mmoja mmoja ni njaa poor poverty kwa kenya
Wataelewa tu mda si mref
 
Tunawabia middl.. niyamakaratasi hakuna lolote
Tembelea vijiji vya kenya
ndio utafahamu hili
ni hatari
watu wamepauka Mpaka huruma!!
 
That is one big lie.. S Africa has the highest rate of unemployment, esp the youth in Africa... Mwenye hii mada ni chuki tu..
 
kuwa makini hapo haibase in whole africa hiyo ni kwa huu uksnda wa africa mashariki....

ila kiukweli bado ipo ivyo
 
Back
Top Bottom