Kenya rate of unemployment is three times that of Tanzania and Uganda also the highest in the world

Watakuja hapa kupiga porojo na kujiita middle income
 
Watakuja hapa kupiga porojo na kujiita middle income
Yesss. Tupo hapa...

First of all your title is misleading.

U say that the rate of Unemployment in Kenya is the highest in the region and in the world, yet that report has clearly stated that it is the youth unemployment that is high, and it is not the highest in the world, just among the highest.

Now here, u have some pretty awkward questions to answer u mulisaaa
 
wakija hapa wanajifanya wapo vizuri kumbe ni shida tupu wakenya bwana
We achatu. Nipo na report nyingi za kwao. Ngoja tuanze nahii. Middle income haiyendani na uwalisia. Serikali yakenya ipo tiyali kutengeneza matokeo ionekane iko vizuri. Nahicho ndokinawagharimu sana. Hawataki kuludi kwenye misingi, bora liende.
 
You are very funny. In general the Kenyan unemployment rate is three times than UG and TZ. Kwa hiyo pia Kenya kuna unemployment rate kuanzia age 35 hadi 60 of age.?? Kama nihivyo walikosea ilibidi iwe 5 times of TZ. Hivi sasa hapo unajitetea nini?? Unataka nishushe tweet za wakenya wenzio? Pole japo ngumu kumeza o[lQUOTE="Iconoclastes, post: 21929305, m
ember: 228458"]Yesss. Tupo hapa...

First of all your title is misleading.

U say that the rate of Unemployment in Kenya is the highest in the region and in the world, yet that report has clearly stated that it is the youth unemployment that is high, and it is not the highest in the world, just among the highest.

Now here, u have some pretty awkward questions to answer u mulisaaa[/QUOTE]
 
Hahaaa kwa hiyo bado mnawatu wapo kwenye age ya 35 to 60 hawana kazi?? Lol basi ajira Kenya nijanga la Taifa. Hizo hasira zipekeke world bank.Ndo maana Uhuru anataka kuwa kama Magufuli
 
The report has talked about youth unemployment, and there is the undisputable evidential report u have displayed there. Where is your evidence about the majority of the 35 to 60 year olds being unemployed?

Why then is the Kenyan economy working? Who is running it?
 
Cs
Can you compare your GDP with ours?? Pilikumbukeni matajari wameishikilia Kenya yote pia aridhi Kenya for development nijanga jingine. Kwenye hii report hauna cha kujitetea. Sababu zahiyo unemployment wamezielezea mwishoni. Kwa sasa inabidi utwambie ni solution zipi mnakuja nazo kulikokuendelea kujitetea. Hii sindano sio ndogo mkuu. Imeingia sehemu mbaya sana.
 
Hivi uko Kenya mnaishi vipi.?? Unajua TZ nivigumu kukuta watu wamekaa kwenye viti vya city park mida ya kazi lakini kupitia Kile kipindi cha NASWA huwa naona wakenya wengi kwenye city park sikuzakazi.Kumbe tatizo ni unemployment
 
ukipishana nao mitaa ya kenyatta avenue pale nairobi,utawaona wamevaa makoti meusi,suruali za vitambaa na viatu vya kupaka kiwi halafu wapo speed hata salamu hawapeani,kuiga utembeaji wa haraka wa wazungu kumbe hawana ajira...wakenya bhana...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Is that man a reliable authority on these matters?

Work begins on the tallest tower in Africa - CNN.com
 
Hivi uko Kenya mnaishi vipi.?? Unajua TZ nivigumu kukuta watu wamekaa kwenye viti vya city park mida ya kazi lakini kupitia Kile kipindi cha NASWA huwa naona wakenya wengi kwenye city park sikuzakazi.Kumbe tatizo ni unemployment

Wewe basi niambie if indeed u are all employed, why then are u so poor?

Hivi uko Kenya mnaishi vipi.?? Unajua TZ nivigumu kukuta watu wamekaa kwenye viti vya city park mida ya kazi lakini kupitia Kile kipindi cha NASWA huwa naona wakenya wengi kwenye city park sikuzakazi.Kumbe tatizo ni unemployment

Look at the percentage of the people living below a $1.25 a day in Tanzania....the highest in Africa?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…