Chalii ni aje! kwani kutumia chini ya dola hizo inamaanisha nini, because our economy is second after yours in EAC, you tell me how comes in that graph of yours Burundi is better than us interms of dollars and we're above them economically. Think my friend, beyond patriotism.Lol! It is not my statistic!
Why should we doubt the negative reports abt Tanzania, but believe the ones about Kenya?
Kuhusu matatizo ya Kenya tu, na ya kwenyu hamna habari nayo?
Haya, 90% of Tanzanians live below 1$ a day, according to the graph, the highest in Africa. Hapo hakuna kupinga.
Hii ni kweli, hawa jamaa huwa na umaskini mkubwa sana, kitu ambacho huwa kinawaokoa ni kwamba wana ardhi kubwa na yenye rotuba 100% hivyo vijana wengi hawakosi ajira. Asilimia 80% ya ajira Tanzania inatokana na ukulima, kwetu kinachotuponza ni kwamba tuna ardhi ndogo yenye rotuba, hivyo nguvu kazi (human resource) yetu nyingi ipo kwenye viwanda.
Niyembona hadi T shirt zakuzindua SGR Mme nunua Tanzania?? Tuonyeshe hizo sindano zikiwa TanzaniaJadili mada kitaalam, nyie mna viwanda vigani vya kutoa ajira wakati mnaagiza hadi sindano. Pipi tunawauzia sisi kutoka kwenye viwanda vyetu.
Nafuu yenu ni kwamba mna ardhi kubwa hivyo vijana wanapata mahali pa kutolea msongo wa mawazo. Japo ukulima wenyewe ni wa kiumaskini maskini tu maana mnaishia kuwa na chakula basi, mengine yanabaki kuwa stori maana nchi yenu bado ipo inatajwa kwenye orodha za mataifa maskini wa kutupwa.
Ardhi yenu hiyo mngeitumia vizuri na kuifanyia ukulima biashara wa kisasa, aisei Afrika mngeitawala.
Jadili mada kitaalam, nyie mna viwanda vigani vya kutoa ajira wakati mnaagiza hadi sindano. Pipi tunawauzia sisi kutoka kwenye viwanda vyetu.
Nafuu yenu ni kwamba mna ardhi kubwa hivyo vijana wanapata mahali pa kutolea msongo wa mawazo. Japo ukulima wenyewe ni wa kiumaskini maskini tu maana mnaishia kuwa na chakula basi, mengine yanabaki kuwa stori maana nchi yenu bado ipo inatajwa kwenye orodha za mataifa maskini wa kutupwa.
Ardhi yenu hiyo mngeitumia vizuri na kuifanyia ukulima biashara wa kisasa, aisei Afrika mngeitawala.
wakenya ni wapuuzi wanaishi kwa kukariri.......maisha yao yote ni kukariri hawajui kama vitu vimebadilika sasa mambo yamekuwa vice versa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kilichobaki sisi tucheke tuNiyembona hadi T shirt zakuzindua SGR Mme nunua Tanzania?? Tuonyeshe hizo sindano zikiwa TanzaniaView attachment 533090 View attachment 533089 View attachment 533089
You can present us the latest MPI statistics if u are doubting that.Twambie hii report ya mwaka gani??
Tule mwaka mbona unapatwa na kigugumiziYou can present us the latest MPI statistics if u are doubting that.
Tule mwaka mbona unapatwa na kigugumiziYou can present us the latest MPI statistics if u are doubting that.
Hii ni kweli, hawa jamaa huwa na umaskini mkubwa sana, kitu ambacho huwa kinawaokoa ni kwamba wana ardhi kubwa na yenye rotuba 100% hivyo vijana wengi hawakosi ajira. Asilimia 80% ya ajira Tanzania inatokana na ukulima, kwetu kinachotuponza ni kwamba tuna ardhi ndogo yenye rotuba, hivyo nguvu kazi (human resource) yetu nyingi ipo kwenye viwanda.
Kuhusu matatizo ya Kenya tu, na ya kwenyu hamna habari nayo?
Haya, 90% of Tanzanians live below 1$ a day, according to the graph, the highest in Africa. Hapo hakuna kupinga.
hao wanajifanya hawaelewi........Dude! Sometimes uwe unaacha kujiaibisha kwa kupost vitu vya mwaka 1947 af unaita eti latest report!
Kwa taarifa yako population below poverty line kwa Tanzania ni 22.8% based on 2015 survey!
Hebu angalia na ya kenya ni ngapi maana inaonekana huijui! naona 43.4% sijui ni ya nchi gani vile hapa EAC
The World Factbook — Central Intelligence Agency
Sasa umeleta huu uzi ili iweje ili serekali yetu ya tz iache kuajiri kisa wakenya wengi hawana kazi ukilinganisha na kwetu, tumechoka na uhakiki usioisha chamsingi serekali inatakiwa iajiti tu na si kuleta porojo hapa, me nahisi hizi takwim wamezichukua wap coz vijana wengi sikuhizi hawana kazi zisizo rasmi. Nahisi watakuwa wamehesabu na wamachinga waliojaa mtaani kuwA na wenyewe wanaajira ambazo hazina tija kwa serekali, serekali iajiri tu tuache porojo banaThis is the latest report by world bank.View attachment 532714View attachment 532715 View attachment 532716 View attachment 532717
Wataelewa tu mda si mrefhao wanajifanya hawaelewi........
wanajiita middle economy wakati uchumi ni wawekezaji ,na wanasiasa wachache wa kenya kwenye uhalisia wa mtu mmoja mmoja ni njaa poor poverty kwa kenya
hiyo ndiyo habariWataelewa tu mda si mref
Hahaha wacha nicheke mieHahaaa kwa hiyo bado mnawatu wapo kwenye age ya 35 to 60 hawana kazi?? Lol basi ajira Kenya nijanga la Taifa. Hizo hasira zipekeke world bank.Ndo maana Uhuru anataka kuwa kama MagufuliView attachment 532754
kuwa makini hapo haibase in whole africa hiyo ni kwa huu uksnda wa africa mashariki....That is one big lie.. S Africa has the highest rate of unemployment, esp the youth in Africa... Mwenye hii mada ni chuki tu..