Watanzania acheni kubishana na watu wanao penda kuongea uongo kila siku tena kwa makusudi.Look at the percentage of the people living below a $1.25 a day in Tanzania....the highest in Africa?
Niligundua kuna media censorship in Tanzania apparently. It's as if you open the very same link we're on but things are displayed differently there on the net to help you be more CCM...ish.Watanzania acheni kubishana na watu wanao penda kuongea uongo kila siku tena kwa makusudi.
Ukicheki vizuri hiyo graph, hiyo 90% inayosemwa sio ya Tanzania bali ni ya Senegal na Nepal.
ANGALIENI VIZURI
All middle income wako na issues of unemploymentWatakuja hapa kupiga porojo na kujiita middle income