Kenya revises SGR revenue downward 44pc to Sh5.7bn

Huo ni uongo equity kwa uchumi upi unaoporomoka daily huo? Kama operational cost za sgr kenya ni kubwa hivyo je za Tzn itakuaje kumbuka ni ya umeme
Kama cargo biznec ya sgr ya Kenya inazalisha nusu tu ya gharama za uendeshaji itakuaje kwa Tzn ambako hata volume ya mzigo hakuna?
Hii mambo ya kutegemea waendeshe wachina had pesa zao zirudi si itakuwa kama bongo makampuni ya madini kuripoti hasara kila mwaka au faida kiduchu ili waendelee kuvuna? Kwa nn mambo ya management yasiwe ya pamoja?
Hivi wewe unaongea ili ujifurahishe, au unaongea ili watu wakucheke?. Kati ya mashine ya kusaga inayotumia diesel na ile inayotumia UMEME, ipi yenye gharama kubwa za uebdeshaji?. Kwa taarifa yako, train ya UMEME gharama zake za uendeshaji ni 30% ya Diesel train.

Kuhusu mizigo ya hizi bandari, Kenya walikua wanahudumia, Uganda, Uganda, South Sudan na DRC kidogo. Sasa hivi Rwanda imeacha kabisa kutumia na Uganda taratibu wanaanza kutumia Dar port.
 
Hiyo tutaipima ikikamilika saizi utajipiga kifua na kukenua sana meno,ukweli ni kwamba Rwanda na Uganda,Burundi na Congo hata wapitishe mizigo yao yoote bongo bado hasara itakuwa ya kiwango cha atcl maana hiyo reli ni ya maonyesho kuliko kuwa ya kiuchumi soon mtabadili nyimbo kuwa eti ni huduma mfike Dar Fasta sana ktk mwanza
 
Kaka mambo yaneendeshwa kitaalamu sio kupiga ramli, wataalamu waneshafanya research zinazosema hivyo kwamba gharama za uendeshaji za Umeme ni 30% ya diesel, ndio sababu duniani kuna muhamo kutoka katika matumizi ya mafuta kwenda katika Umeme, gas, jua, upepo na kadhalika, sasa wewe ambaye eti unasubiri hadi ifanyekazi ndio upime utakuwa umeshachelewa.
 
Hiyo tutaipima ikikamilika saizi utajipiga kifua na kukenua sana meno,ukweli ni kwamba Rwanda na Uganda,Burundi na Congo hata wapitishe mizigo yao yoote bongo bado hasara itakuwa ya kiwango cha atcl maana hiyo reli ni ya maonyesho kuliko kuwa ya kiuchumi soon mtabadili nyimbo kuwa eti ni huduma mfike Dar Fasta sana ktk mwanza
Umejuaje itapiga hasara mwenzetu!!!!!

Mtu anaandaa onyesho la tillion4, kweli!!!!, wapingaji mna kazi sana.
 
Huo ni uongo equity kwa uchumi upi unaoporomoka daily huo? Kama operational cost za sgr kenya ni kubwa hivyo je za Tzn itakuaje kumbuka ni ya umeme
Kama cargo biznec ya sgr ya Kenya inazalisha nusu tu ya gharama za uendeshaji itakuaje kwa Tzn ambako hata volume ya mzigo hakuna?
Hii mambo ya kutegemea waendeshe wachina had pesa zao zirudi si itakuwa kama bongo makampuni ya madini kuripoti hasara kila mwaka au faida kiduchu ili waendelee kuvuna? Kwa nn mambo ya management yasiwe ya pamoja?

Bro kama hujui finance, it's better you shut up. Binafsi sipendi kujadili na mtu ambaye hana uweledi kwenye taaluma fulani.
Kwanza nenda ka google uone jinsi vgf inavyofanya kazi.
 
Hahaaa.. hii kauli unaitumiaga sana. Hupendi mtu ambae siyo nshomile! Ila jamaa anachefua kwa pumba zake, nawapongeza wote mlio weza kupata nguvu za kumjibu.
 
Hahahahaha, kila kitu kinadhihirika wazi, Hahahahaha, hahahahaha. Tukiwaambia mnapika data na uchumi wenu upo katika makaratasi huwa mnapinga. KNBS wanaulizwa walitoa wapi data zilizoonyesha kwamba SGR ilipata 10.33B kama walivyoripoti wao KBNS wakati pesa iliyopatikana ni 5.7B, hawana jibu wanabaki kukenua macho, ni hii ndio kawaida ya KNBS kwa ujumla kudanganyana kwamba uchumi ni mzuri wakati hali ni mbaya sana, ndio sababu KNBS is ranked among the worst in Africa, not reliable at all.
1)Fake economy
2)Fake gold
3)Fake SGR
4)Fake leadership
5)Failed state.

Hizi habari za Mchina ni za uongo, they make more than that. The issue is that they have been mandated to operate this SGR, they must give fake data for them to continue making abnormal profit. Nyang’au watabaki kukenua meno tuuu
 
Before anybody gets excited the 'revised' numbers just reflect revenue from container services and do not include income from the 663 trains carrying clinker, steel, fertilizer and grain
 
Hahahahaha, that is how failed state thinking capacity looks like
 
IMG_20190529_192737.JPG
 
Bro kama hujui finance, it's better you shut up. Binafsi sipendi kujadili na mtu ambaye hana uweledi kwenye taaluma fulani.
Kwanza nenda ka google uone jinsi vgf inavyofanya kazi.
Wewe jifariji na ujuaji wakati hadi sasa TRC wanakula hasara sijui mtakua mnasafirisha dagaa au vp
 
Mtakuwa mnabeba mawese ndo ipate faida au? TRC inapata faida?Tazara je

TRC hawaitaji kubeba mawese mchanga wa madini toka lake zone unatosha na pia kutakuwa na mizigo ya kwenda na kutoka Rwanda, Burundi na Congo pamoja na Uganda mpaka lake Victoria. Ikienda imejaa ikirudi imejaa
 
Mtakuwa mnabeba mawese ndo ipate faida au? TRC inapata faida?Tazara je

Waganda wanapelekewa mizigo yao mpaka Port Bell hawana haja ya kuja Dar wala kwenda Mombasa. Ndio maana tunatengeneza meli nyingi za mizigo lake victoria. Hata South Sudan watakuwa wanachukulia mizigo yao toka Port Bell ndio maana Mseveni anapeleka reli yake North.
 
Back
Top Bottom