ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kitakachoamua ni gharama za usafiri na michakato mingine hata hivyo huto tu mizigo tunatogombewa ndio tutaleta faida kwa sgr au mnajifariji tu hapa.Soon tutasikia treni ni hudumaWaganda wanapelekewa mizigo yao mpaka Port Bell hawana haja ya kuja Dar wala kwenda Mombasa. Ndio maana tunatengeneza meli nyingi za mizigo lake victoria. Hata South Sudan watakuwa wanachukulia mizigo yao toka Port Bell ndio maana Mseveni anapeleka reli yake North.
Kitakachoamua ni gharama za usafiri na michakato mingine hata hivyo huto tu mizigo tunatogombewa ndio tutaleta faida kwa sgr au mnajifariji tu hapa.Soon tutasikia treni ni huduma
Buda, this is a smart country under smart leadership, nyinyi jifunzeni and take notes.Kitakachoamua ni gharama za usafiri na michakato mingine hata hivyo huto tu mizigo tunatogombewa ndio tutaleta faida kwa sgr au mnajifariji tu hapa.Soon tutasikia treni ni huduma
yani nimecheka sana...bora huduma...kisha watasema si tumejenga kw pesa zetu..bwhahaa....yani hawa jamaa miradi yao ya serikali ni hasara kwenda nakwambia...kisha hujisifi ya kwamba wako smart ..atcl imebuma,brt noma,trc balaa..gani we acha tu ndugu yangu...taara nayo iko hoi..tangu mjerumani aondoke ni hasara kwenda tanesco nayo ni balaa...kisha unakuta jamaa anakuja kukenu meno hapa hku akijitekenya na kucheka mwnyweKitakachoamua ni gharama za usafiri na michakato mingine hata hivyo huto tu mizigo tunatogombewa ndio tutaleta faida kwa sgr au mnajifariji tu hapa.Soon tutasikia treni ni huduma
Kama ambavyo mko smart na atcl?Buda, this is a smart country under smart leadership, nyinyi jifunzeni and take notes.
Nothing will fail here, we are going to be an exemplary country in Africa. Trust me.
SGR ya kenya inaendeshwa kama kiosk ama banda la mama lishe..Leo sales figure unasema ni 10b kesho unashtukia ulikosea hesabu ya kuunganisha kumbe kipochi cha pesa kipo na 5b tu[emoji23][emoji23]
Hata mimi nilipoiona hii habari nikakumbuka bandari ya Bagamoyo.Hizi habari za Mchina ni za uongo, they make more than that. The issue is that they have been mandated to operate this SGR, they must give fake data for them to continue making abnormal profit. Nyangβau watabaki kukenua meno tuuu
Morogoro to dodoma means phase 2 sijui kama umeelewa hapo πππTanzania secures $1.46b SGR loan from Stanchart
SATURDAY SEPTEMBER 15 2018
President John Magufuli inspects construction works of the SGR project in Dar es Salaam. PHOTO | NMG
In Summary
More by this Author
- Funds will enable Tanzania to build the 430km line between Morogoro and Makutupora.
- Already, the government has allocated $700 million for its SGR projects in the 2018/2019 annual budget.
- Last year, President John Magufuli launched a 525km line between Dar es Salaam and Morogoro, which is being funded by the Turkey Exim Bank to the tune of $1.2 billion.
View attachment 1110608
By ALLAN OLINGO
Tanzania has secured a $1.46 billion concessional loan from the Standard Chartered Bank's Group to fund its standard gauge railway line between Morogoro and Dodoma.
Finance Minister Dr Philip Mpango said the new loan was part of an agreement reached with Standard Chartered Bank Group executive director Bill Winters in Dar es Salaam, which would go to fund the 430km line.
View attachment 1110611
Thanks
ππππππππTanzania secures $1.46b SGR loan from Stanchart
SATURDAY SEPTEMBER 15 2018
President John Magufuli inspects construction works of the SGR project in Dar es Salaam. PHOTO | NMG
In Summary
More by this Author
- Funds will enable Tanzania to build the 430km line between Morogoro and Makutupora.
- Already, the government has allocated $700 million for its SGR projects in the 2018/2019 annual budget.
- Last year, President John Magufuli launched a 525km line between Dar es Salaam and Morogoro, which is being funded by the Turkey Exim Bank to the tune of $1.2 billion.
View attachment 1110608
By ALLAN OLINGO
Tanzania has secured a $1.46 billion concessional loan from the Standard Chartered Bank's Group to fund its standard gauge railway line between Morogoro and Dodoma.
Finance Minister Dr Philip Mpango said the new loan was part of an agreement reached with Standard Chartered Bank Group executive director Bill Winters in Dar es Salaam, which would go to fund the 430km line.
View attachment 1110611
Thanks
Wewe pumzika huna hoja πππ nonsenseHuo ni uongo equity kwa uchumi upi unaoporomoka daily huo? Kama operational cost za sgr kenya ni kubwa hivyo je za Tzn itakuaje kumbuka ni ya umeme
Kama cargo biznec ya sgr ya Kenya inazalisha nusu tu ya gharama za uendeshaji itakuaje kwa Tzn ambako hata volume ya mzigo hakuna?
Hii mambo ya kutegemea waendeshe wachina had pesa zao zirudi si itakuwa kama bongo makampuni ya madini kuripoti hasara kila mwaka au faida kiduchu ili waendelee kuvuna? Kwa nn mambo ya management yasiwe ya pamoja?
Reli ya kimaonesho ukimaanisha nn??Hiyo tutaipima ikikamilika saizi utajipiga kifua na kukenua sana meno,ukweli ni kwamba Rwanda na Uganda,Burundi na Congo hata wapitishe mizigo yao yoote bongo bado hasara itakuwa ya kiwango cha atcl maana hiyo reli ni ya maonyesho kuliko kuwa ya kiuchumi soon mtabadili nyimbo kuwa eti ni huduma mfike Dar Fasta sana ktk mwanza
Ww huna point kabisa πππKitakachoamua ni gharama za usafiri na michakato mingine hata hivyo huto tu mizigo tunatogombewa ndio tutaleta faida kwa sgr au mnajifariji tu hapa.Soon tutasikia treni ni huduma
We ulitaka tusifufue atcl???Kama ambavyo mko smart na atcl?
Leta ushahidi kua atcl imebuma, BRT inatengeneza faida zaidi ya SGR yenu ambayo mpaka leo hii inaendesha hasara ya mabilioni ya pesaππππππππππyani nimecheka sana...bora huduma...kisha watasema si tumejenga kw pesa zetu..bwhahaa....yani hawa jamaa miradi yao ya serikali ni hasara kwenda nakwambia...kisha hujisifi ya kwamba wako smart ..atcl imebuma,brt noma,trc balaa..gani we acha tu ndugu yangu...taara nayo iko hoi..tangu mjerumani aondoke ni hasara kwenda tanesco nayo ni balaa...kisha unakuta jamaa anakuja kukenu meno hapa hku akijitekenya na kucheka mwnywe
https://www.facebook.com/
Hatubahatishiππππyani nimecheka sana...bora huduma...kisha watasema si tumejenga kw pesa zetu..bwhahaa....yani hawa jamaa miradi yao ya serikali ni hasara kwenda nakwambia...kisha hujisifi ya kwamba wako smart ..atcl imebuma,brt noma,trc balaa..gani we acha tu ndugu yangu...taara nayo iko hoi..tangu mjerumani aondoke ni hasara kwenda tanesco nayo ni balaa...kisha unakuta jamaa anakuja kukenu meno hapa hku akijitekenya na kucheka mwnywe
https://www.facebook.com/
Ofcoz, do u see any failures activities there, achana na hizi siasa mitandaoni. And bado company ndio kwanza inaanza.Kama ambavyo mko smart na atcl?
Nimegusa penye jerahaWewe pumzika huna hoja πππ nonsense
Loss ikianza ndio utaona hoja saizi unajipaka mafuta ya matumaini hewaWw huna point kabisa πππ
Project of unknown contract sum,upigaji kweli nyie mandezi umewahi ona wapi duniani kunatekelezwa mradi kwa pesa za walipakodi lakini thamani ya mradi haijulikani,only kwa vichwa bogus vya ldc tznHatubahatishiππππ
Kwamba u don't see how loss making is your atcl? Au unataka failure ipi weweOfcoz, do u see any failures activities there, achana na hizi siasa mitandaoni. And bado company ndio kwanza inaanza.