Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Hahahahaha, kila kitu kinadhihirika wazi, Hahahahaha, hahahahaha. Tukiwaambia mnapika data na uchumi wenu upo katika makaratasi huwa mnapinga. KNBS wanaulizwa walitoa wapi data zilizoonyesha kwamba SGR ilipata 10.33B kama walivyoripoti wao KBNS wakati pesa iliyopatikana ni 5.7B, hawana jibu wanabaki kukenua macho, ni hii ndio kawaida ya KNBS kwa ujumla kudanganyana kwamba uchumi ni mzuri wakati hali ni mbaya sana, ndio sababu KNBS is ranked among the worst in Africa, not reliable at all.
1)Fake economy
2)Fake gold
3)Fake SGR
4)Fake leadership
5)Failed state.
Hizi comments siyo nzuri kabisa hata kidogo. Please, I appeal you treat Kenyans as our friends as well as our important Business partners. Hizi chuki zote za nini jamani?