Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
British High Commissioner to Tanzania, Sarah Cooke said in Kilombero yesterday on a field visit to the factory that the anticipated expansion will allow cane farmers to increase their productions as more of the raw material will be needed to feed the expanded factory.Managing Director for Kilombero Sugar Company, Guy Williams (R) shows sugar produced by the company to British High Commissioner to Tanzania, Sarah Cooke during the envoy's field visit at the sugar factory earlier this week. Photo courtesy of Kilombero Sugar.
Samahaani Sana. Umezaliwa lini? Mimi ni 1952 ni Mtanzania. Unayasema siyo Kweli. Tanzania imeanza kuwa na chakula cha kutosha hivi karibuni. Mwl Nyerere aliwalisha watanzania ugali wa yanga wakulima walitumia jembe la mkono. Watanzania walianza Kulima kwa kasi Sana. Ni baada Ben Mkapa kuanzisha Kulima kwa Matrakta ya mkono. Hasa kusini mwa nchi. Tukaaza kusikia. Marangwe ya mbeya Ruvuma na Mahindi Sumbawanga nayoWakati wa Hayati Mwalimu Nyerere, kila mkoa na baadhi ya Wilaya zilikuwa na hifadhi ya chakula cha kutosha.
Maghala yote yalijaa chakula na kingine kuhifadhiwa nje. Mghala haya sasa yameuzwa kwa watu binasfi na mengine yamegeuzwa club za pombe au kucheza disco.
Leo hii chakula kinahifadhiwa kwenye mikoa michache na hii mikoa inaitwa kanda.
Uhai wa Kilimo umeshuka sana baada ya Serikali kuyaua Mashirika yake ya umma kama Pamba, Korosho, Nafaka, Chai, Tumbaku, Kahawa n.k.
Serikali iliyaua mashirika haya kwa sababu ya kuweka Watendaji wabovu kwa maslahi binafsi.
Kipindi kile ulikuwa huwezi kupata kazi nzuri kwenye mashirika haya kama huna father God.
Mwisho wa siku viongozi hao hao na wale waliofuata na wanainchi kwa ujumla wakayaona mashirika haya ni ya wezi na hayafai.
Mwalimu Nyerere alikuwa mkali katika kisimamia mashirika haya na yaliinua sana uchumi wa Inchi.
Wakati wake ni wasomi tu ndiyo walipata nafasi za juu kuongoza mashirika haya. Wale wezi wachache waliogitokeza alikuwa anawafukuza kupitia Redio kwenye taarifa ya habari ya saa saba mchana ili kila mtu akusikie na kabla ya kuondoka kurudi nyumbani unakuwa umekabidhi shirika.
Kitu pekee kitakachomfanya Rais wetu wa sasa mwenye uongozi kama wa Nyerere ni kuunda tena mashirika haya ili kuongeza ajira kwa haraka na kufufua uchumi.
Shirika la ndege la sasa ATCL lilikufa kwa sababu ya uongozi mbovu lakini sasa lina heshima Duniani.
ATCL haina impact ya moja kwa moja kwa mwanainchi wa kawaida. Ila kilimo kitakuwa na impact ya moja kwa moja kwa mkulima, mfanyabiashara, Taifa na waajiriwa.
Rais wetu anza sasa kurudisha mashirika haya kama ulivyofanya ATCL.