Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Kumbe jirani matusi unayajua ehhhe??Africa magharibi na Congo kuna siri kubwa huko ndugu yangu wa Afrika mashariki, inabidi mkaitafute...lol!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe jirani matusi unayajua ehhhe??Africa magharibi na Congo kuna siri kubwa huko ndugu yangu wa Afrika mashariki, inabidi mkaitafute...lol!
Oooh!!Mi ni mkongo bana(baadhi ya part)
...haha, wanaija na ile accent yao, na wa Congo na kile kilingala chao, mnazidiwa kete...lol
Eti nyie mna vichunusi[emoji85] [emoji85] [emoji85]Na siye wenye accent ya kule kwetu Cameroun, tunaingia kundi lipi Kui? La Wacongo na Wanaija au la wa Afrika Mashariki? I am just asking loud and clear 🙂🙂🙂
Eti nyie mna vichunusi[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Weeeh usiniambie!! Sasa nitathibitishaje?[emoji85]Hahahahahah lol! Basi Mcameroun miye nimebahatika hivyo vichunusi vimenipitia mbali lol!
Weeeh usiniambie!! Sasa nitathibitishaje?[emoji85]
We umesimama au umekaa?Nataka manzi ako kasimama kila idara wa kenya....ajitokeze ebu
Hahaaaa!! Mie siendi popote nipo hapahapa jamani.[emoji85] [emoji85] [emoji85]lol! najua unaenda wapi na huu uthibitisho uutakao, ila nimebaki na tabasamu tu Mwalimu.
Ghaaagh...wee MTZ mbona unanirushia ndegeWe umesimama au umekaa?
MK254 Sasa nyinyi kaka zangu, mlivyoona wazungu wanavaa pichu na suit mkaona wale wanaovaa matenge na makanzu hawajastaarabika, siri ni kubana hizo kitu mpaka vinabaki vichunusi vikijitahidi ni vibamia.
Nani kakwambia mie mtz?Ghaaagh...wee MTZ mbona unanirushia ndege
Na siye wenye accent ya kule kwetu Cameroun, tunaingia kundi lipi Kui? La Wacongo na Wanaija au la wa Afrika Mashariki? I am just asking loud and clear 🙂🙂🙂