Kenya the giant of Africa is sleeping and the sleeping giant of east africa is waking up!! Viva Tanzania

Umeme kila Kijiji bado hatujafika. Ila tutafika kazi inaendelea na inaridhisha

Nb; Hawa watu mara zote unaojadiliana nao huwa hawajui chochote?
Hatujafika wakati Bado Vijiji 180 tuu navyo vina wakandarasi? Mkoa wa Ruvuma,Rukwa nk kazi imemalizika ,yaani Hadi disemba Kila Kijiji 🇹🇿 nzima Kitakuwa kimewaka umeme.
 
Nimekuambia bado vijiji vyote havijafikiwa, Ila kazi inaendelea na vitafikiwa. Hii Ni tofauti na ulivyosema vijiji vyote tayari umeme umefika
 
Back
Top Bottom