Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Tunaexport mahindi, na ndio yamebeba robo ya revenue kutoka hizo exportWana export bidhaa gani, mbona hutaki kutaja tunacho export?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaexport mahindi, na ndio yamebeba robo ya revenue kutoka hizo exportWana export bidhaa gani, mbona hutaki kutaja tunacho export?
Hatujafika wakati Bado Vijiji 180 tuu navyo vina wakandarasi? Mkoa wa Ruvuma,Rukwa nk kazi imemalizika ,yaani Hadi disemba Kila Kijiji 🇹🇿 nzima Kitakuwa kimewaka umeme.Umeme kila Kijiji bado hatujafika. Ila tutafika kazi inaendelea na inaridhisha
Nb; Hawa watu mara zote unaojadiliana nao huwa hawajui chochote?
Nimekuambia bado vijiji vyote havijafikiwa, Ila kazi inaendelea na vitafikiwa. Hii Ni tofauti na ulivyosema vijiji vyote tayari umeme umefikaHatujafika wakati Bado Vijiji 180 tuu navyo vina wakandarasi? Mkoa wa Ruvuma,Rukwa nk kazi imemalizika ,yaani Hadi disemba Kila Kijiji 🇹🇿 nzima Kitakuwa kimewaka umeme.