kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
The video is from Dr. Mumbi, send her a message to ask her the question
Ruka ruka ila ukimaliza nafsi yako itakuambia kwanini privatization imefanywa muda huu ambao deni limewazidia.Wewe hauna knowledge kabisa on global issues.
Privatization sio jambo tu la Kenya ama Africa.
Na si jambo la kukabili deni pekee. Privatization inafanywa ili haya makampuni yaweze kushindana na mengine binafsi. Ili yaendeshwe vizur. Na ili yasaidie uchumi.
United Kingdom ni mfano mzuri. Imefanya privatization ya makampuni zaidi ya 100.
Yakiwemo.
Royal Mail
Rolls Royce
Thomas Cook
British Airways
British Gas
Leyland Trucks
British Energy
British Rail
London Buses
Almost all airports
British Nuclear
High Speed
Bank of Scotland
Municipal water companies
Haya yote sasa hivi ni makampuni ya kutajika.
Sawa.
Uzeni na reli basi ili na yenyewe itengeneze faida.
Ruka ruka ila ukimaliza nafsi yako itakuambia kwanini privatization imefanywa muda huu ambao deni limewazidia.
Treni?By the way, ni nchi LDC tu kama Tanzania unapopata kila kitu kinaendeshwa na serikali.
Nchi zilizo endelea kama US, Japan, UK etc, zilifanya privatization ya karibu kila kitu.
Airlines, Trains, garbage, Airports, electricity, ports etc.. zote ziko in private hands, for profit.
Na ndio maana things run efficiently in those countries.
Isikushangaze kwamba the famous Heathrow Airport is privately owned.
What about Chinese government companies building your old versioned, obsolete SGR?
Chinese government will buy them while you shout here with irrelevance.
Treni?
And?, Nobody care about your sarcasm. Keep rotting in your own negativity
Anyway ikifika time utahitajika kujua kichina nakushauri download Duolingo ili ujifunzie kichina kwenye androidOngea unayo fahamu.
Kenya tuna procedures, sio kuruka ruka tu kama LDC. Haya mambo tulianzia kama bado unanyonya.
Enda ukasome kuhusu the Kenya Privatization Commission - Privatization Commission
The Privatization Commission is a State Corporation established under Section 3 of the Privatization Act, 2005 and commenced operations in January 2008. Its mandate is to formulate, manage and implement the Privatization Programme and specific proposals for privatization in accordance with the programme.
Anyway ikifika time utahitajika kujua kichina nakushauri download Duolingo ili ujifunzie kichina kwenye android
Unaelewa maana ya privatization wewe?
We have been privatizing government companies since the 1980s.
In fact, the 26 being privatized now have been delayed since Kibaki's regime.
Kazi ya serikali ni kuokota ushuru kutoka makampuni, sio kuendesha hayo makampuni.
Ukiangalia profit, hayo makampuni yote 26 yaliachwa nyuma na makampuni binafsi. Majority sasa hivi ni loss making.
usijisifu sana, huu ni ukoloni mamboleo, mnauzia wachina ,..!!
hakuna wakenya, ???
Hao wanakuja kuwanyonya tu na kuwaibia.
Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China
The Kenyan government is getting ready to sell 26 companies to China, some of which are very key assets, in order to meet this year's budgets. While they say it is to help bring the government spending down, some of the companies for sale are major national assets and big money makers.. I smell a rat...from china!
Uwongo mtupuKwa sasa
$1=2500tsh
The story is from Dr Mumbi, and why are you even wasting you time posting on a "negative" story thread?, this is just hypocrisy
Hilo linchi la kunya ni kwishney habari yake walahiHII NI DISASTER KWA AFRIKA.
HIYO NI DANGANYA TOTO, UKWELI NI KWAMBA MNADAIWA MADENI MENGI NA MMESHINDWA KULIPA.πππ