Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China

Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China

Wewe hauna knowledge kabisa on global issues.
Privatization sio jambo tu la Kenya ama Africa.
Na si jambo la kukabili deni pekee. Privatization inafanywa ili haya makampuni yaweze kushindana na mengine binafsi. Ili yaendeshwe vizur. Na ili yasaidie uchumi.

United Kingdom ni mfano mzuri. Imefanya privatization ya makampuni zaidi ya 100.
Yakiwemo.

Royal Mail
Rolls Royce
Thomas Cook
British Airways
British Gas
Leyland Trucks
British Energy
British Rail
London Buses
Almost all airports
British Nuclear
High Speed
Bank of Scotland
Municipal water companies

Haya yote sasa hivi ni makampuni ya kutajika.
Ruka ruka ila ukimaliza nafsi yako itakuambia kwanini privatization imefanywa muda huu ambao deni limewazidia.
 
Ruka ruka ila ukimaliza nafsi yako itakuambia kwanini privatization imefanywa muda huu ambao deni limewazidia.

Ongea unayo fahamu.

Kenya tuna procedures, sio kuruka ruka tu kama LDC. Haya mambo tulianzia kama bado unanyonya.

Enda ukasome kuhusu the Kenya Privatization Commission - Privatization Commission

The Privatization Commission is a State Corporation established under Section 3 of the Privatization Act, 2005 and commenced operations in January 2008. Its mandate is to formulate, manage and implement the Privatization Programme and specific proposals for privatization in accordance with the programme.
 
By the way, ni nchi LDC tu kama Tanzania unapopata kila kitu kinaendeshwa na serikali.

Nchi zilizo endelea kama US, Japan, UK etc, zilifanya privatization ya karibu kila kitu.

Airlines, Trains, garbage, Airports, electricity, ports etc.. zote ziko in private hands, for profit.
Na ndio maana things run efficiently in those countries.

Isikushangaze kwamba the famous Heathrow Airport is privately owned.
Treni?
 
What about Chinese government companies building your old versioned, obsolete SGR?

Chinese government will buy them while you shout here with irrelevance.

When they buy them, are they going to relocate them to China?
They remain in Kenya, serving Kenyans and growing the Kenyan GDP.
Wacha pang'ang'a.
 
I rarely find any IQ difference between the originator and the person who 'forwarded as received'.

And?, Nobody care about your sarcasm. Keep rotting in your own negativity
 
Ongea unayo fahamu.

Kenya tuna procedures, sio kuruka ruka tu kama LDC. Haya mambo tulianzia kama bado unanyonya.

Enda ukasome kuhusu the Kenya Privatization Commission - Privatization Commission

The Privatization Commission is a State Corporation established under Section 3 of the Privatization Act, 2005 and commenced operations in January 2008. Its mandate is to formulate, manage and implement the Privatization Programme and specific proposals for privatization in accordance with the programme.
Anyway ikifika time utahitajika kujua kichina nakushauri download Duolingo ili ujifunzie kichina kwenye android
 
Unaelewa maana ya privatization wewe?
We have been privatizing government companies since the 1980s.
In fact, the 26 being privatized now have been delayed since Kibaki's regime.

Kazi ya serikali ni kuokota ushuru kutoka makampuni, sio kuendesha hayo makampuni.

Ukiangalia profit, hayo makampuni yote 26 yaliachwa nyuma na makampuni binafsi. Majority sasa hivi ni loss making.

usijisifu sana, huu ni ukoloni mamboleo, mnauzia wachina ,..!!
hakuna wakenya, ???
Hao wanakuja kuwanyonya tu na kuwaibia.
 
The person who brought a negative story about Kenya is accusing me of rotting in negativity.

The story is from Dr Mumbi, and why are you even wasting your time posting on a "negative" story thread?, this is just hypocrisy
 
usijisifu sana, huu ni ukoloni mamboleo, mnauzia wachina ,..!!
hakuna wakenya, ???
Hao wanakuja kuwanyonya tu na kuwaibia.

Kama utareply, fanya juhudi kwanza usome reply zote kwa thread. Sio kurukia tu topic.

Hakuna kampuni yoyote ambayo imetengwa kuuziwa wachina.

Open market. Highest bidder.
Kama Mkenya ana pesa ya kununua, hatakatazwa. Kama mzungu vile vile.
 
Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China

The Kenyan government is getting ready to sell 26 companies to China, some of which are very key assets, in order to meet this year's budgets. While they say it is to help bring the government spending down, some of the companies for sale are major national assets and big money makers.. I smell a rat...from china!

HII NI DISASTER KWA AFRIKA.

HIYO NI DANGANYA TOTO, UKWELI NI KWAMBA MNADAIWA MADENI MENGI NA MMESHINDWA KULIPA.😀😀😀
 
TANZANIA hatuwezi kufanya UPUMBAVU HUO.😀😀😛🙄🙄🙄
 
The story is from Dr Mumbi, and why are you even wasting you time posting on a "negative" story thread?, this is just hypocrisy

I have no problem commenting on any thread. On this one I had to set the record straight.
Nikiona ujinga, nasema huu ni ujinga.

And if your opinion is not similar to 'Dr. Mumbi's', you should have posted the video plus your thoughts. That statement you posted with the video is your opinion in this case.
 
HII NI DISASTER KWA AFRIKA.

HIYO NI DANGANYA TOTO, UKWELI NI KWAMBA MNADAIWA MADENI MENGI NA MMESHINDWA KULIPA.😀😀😀
Hilo linchi la kunya ni kwishney habari yake walahi
 
Back
Top Bottom