1. Number 1 motive ya kuuza ni better management, na freeing up non-performing government shares. Maneno ya pesa za bajeti ni secondary. Process ilianza kitambo, na hata kama zingeuzwa 2008, bado mngesema ni pesa ya bajeti inatafutwa.
2. Sijui kwenye umetoa figure ya 80%, lakini nadhani ulitaka kusema kwamba 80% ya umeme Kenya huzalishwa na KenGen.
Haya makampuni mengine madogo yanazalisha 20%.
Ambacho haujui ni kwamba kwa hii KenGen, serikali iko na shares za 70% sasa hivi, wala si 100%.
Wanataka sasa kupunguza hizo shares, hopefully wauze majority.
Na serikali ina uwezo wa kuregulate industry yoyote, iwe kwenye mikono binafsi au ya serikali.
ERC ya Kenya huregulate mambo yote ya Energy, na ndio maana hata uende petrol station gani, bei ya mafuta ni ile ile.
Privatization policy yenu ya Mkapa labda haikuwa well thought out. Mlichofanya makosa nyinyi ndio mnajua.
Lakini ukweli ni kwamba, majority ya privatized companies huwa zikawa better.
Hii ndio PDF iliyotolewa na Privatization Commision of Kenya.
Soma objectives za privatization ya kila kampuni. Mingi hata shares zitauzwa, na pesa ikuwa re-invested kwa hio kampuni bado, wala sio bajeti kama unavyodai.
View attachment 924906
View attachment 924908
View attachment 924909