Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China

Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China

On the flip side, baadhi ya makampuni 26 ambayo serikali inataka kuuza shares zake ni haya.

Numerical Machining
Kenya Meat Commission
Portland Cement
Development Bank
National Bank
Consolidated Bank
Miwani Sugar
Chemelil Sugar

Haya yote ni makampuni struggling, mismanaged, loss making na full of corruption.
Nakuonea sana huruma kwa namna unavyo fikili
 
1) Motive ya kuyauza haya makampuni kwa sasa ni ili kupata pesa ya kufidia bajeti, hata kama mpango huo ulikuwepo, lakini kwa sasa ni ili kupata pesa za bajeti. Wakenya majority wanalijua hili
State to sell 26 companies to finance current budget

2)Sasa hivi zaidi ya asilimia 80% ya umeme wa Kenya huzalishwa na serikali, 20% ndio huzalishwa na private companies na kuuza huo UMEME kwa serikali kwa bei ambayo serikali itakubali kununua, kama bei ni kubwa basi serikali haitonunua, na hawaruhusiwi kuuza kwa wananchi mojakwamoja.

Serikali ikiuza KenGen, maana yake itakua ya watu binafsi, serikali ikikataa mapendekezo ya bei wabayotaka, kuna uwezekano wasizalishe UMEME wa kutosha, au kuzima mitambo Mara kwa Mara wakitoa sababu ya gharama za uendeshaji ziko juu,

Sisi tulishafanya hayo yote katika kipindi cha Mkapa, tulijuta kutokana na yaliyotukuta, acheni kujifanya wajuaji sana, njooni mjifunze makosa yetu ili msijepata matatizo, ndio faida ya kuwa majirani, mbona ninyi mlitangulia kujenga SGR, sisi tumeangalia makosa mliyofanya, tumerekebisha, sasa tunajenga reli bora zaidi kwa pesa kidogo bila loan, why you don't like to learn from others?
Achana nae abaki na huo upumbavu wake. IQ yake ipo chini sana
 
1. Number 1 motive ya kuuza ni better management, na freeing up non-performing government shares. Maneno ya pesa za bajeti ni secondary. Process ilianza kitambo, na hata kama zingeuzwa 2008, bado mngesema ni pesa ya bajeti inatafutwa.

2. Sijui kwenye umetoa figure ya 80%, lakini nadhani ulitaka kusema kwamba 80% ya umeme Kenya huzalishwa na KenGen.
Haya makampuni mengine madogo yanazalisha 20%.
Ambacho haujui ni kwamba kwa hii KenGen, serikali iko na shares za 70% sasa hivi, wala si 100%.
Wanataka sasa kupunguza hizo shares, hopefully wauze majority.

Na serikali ina uwezo wa kuregulate industry yoyote, iwe kwenye mikono binafsi au ya serikali.
ERC ya Kenya huregulate mambo yote ya Energy, na ndio maana hata uende petrol station gani, bei ya mafuta ni ile ile.

Privatization policy yenu ya Mkapa labda haikuwa well thought out. Mlichofanya makosa nyinyi ndio mnajua.
Lakini ukweli ni kwamba, majority ya privatized companies huwa zikawa better.

Hii ndio PDF iliyotolewa na Privatization Commision of Kenya.
Soma objectives za privatization ya kila kampuni. Mingi hata shares zitauzwa, na pesa ikuwa re-invested kwa hio kampuni bado, wala sio bajeti kama unavyodai.

private.JPG

private1.JPG

private2.JPG
 
Can you say the same thing to the Chinese and India?? Who owns Boeing and Airbus companies ??

Both Airbus and Boeing are traded on public stock exchanges. Hata wewe ukitaka kununua shares unaweza.

Airbus shareholders.

share1.JPG

Boeing shareholders.
share2.JPG
 
1. Number 1 motive ya kuuza ni better management, na freeing up non-performing government shares. Maneno ya pesa za bajeti ni secondary. Process ilianza kitambo, na hata kama zingeuzwa 2008, bado mngesema ni pesa ya bajeti inatafutwa.

2. Sijui kwenye umetoa figure ya 80%, lakini nadhani ulitaka kusema kwamba 80% ya umeme Kenya huzalishwa na KenGen.
Haya makampuni mengine madogo yanazalisha 20%.
Ambacho haujui ni kwamba kwa hii KenGen, serikali iko na shares za 70% sasa hivi, wala si 100%.
Wanataka sasa kupunguza hizo shares, hopefully wauze majority.

Na serikali ina uwezo wa kuregulate industry yoyote, iwe kwenye mikono binafsi au ya serikali.
ERC ya Kenya huregulate mambo yote ya Energy, na ndio maana hata uende petrol station gani, bei ya mafuta ni ile ile.

Privatization policy yenu ya Mkapa labda haikuwa well thought out. Mlichofanya makosa nyinyi ndio mnajua.
Lakini ukweli ni kwamba, majority ya privatized companies huwa zikawa better.

Hii ndio PDF iliyotolewa na Privatization Commision of Kenya.
Soma objectives za privatization ya kila kampuni. Mingi hata shares zitauzwa, na pesa ikuwa re-invested kwa hio kampuni bado, wala sio bajeti kama unavyodai.

View attachment 924906
View attachment 924908
View attachment 924909
Kwa hiyo hao wakenya wa gazeti la standard, na media zote za Kenya pamoja na wasomi wote wanaosema lengo la kuuza kwa sasa ni ili kupata pesa za bajeti hawajui kitu wewe ndio unajua kila kitu?.

Mbona serikali isiwachie private sector kujenga SGR kama unahisi serikali haiwezi kuendesha mashirika kwa faida?. Unadhani mashirika yote yanayobinafsishwa yanatengeneza faida?, mbona KQ inatengeneza hasara, Kirubi anajuta kuwekeza pesa yake KQ, reli yenu ya zamani mbona mlibinafsisha lakini hali ni mbaya zaidi?.

80% ya UMEME wa Kenya huzalishwa na KenGen, ambapo serikali inamiliki 70% ya share, hii maana yake serikali ndiyo yenye maamuzi ya mwisho kuhusu bei ya UMEME kwa wananchi, ni hatari sana serikali kupoteza huo uwezo wa kuamua bei ya UMEME kwa wananchi. Mkiendelea kupunguza huo uwezo wa maamuzi mtapoteza nguvu ya kupanga bei, kumbuka UMEME ni engine ya uchumi wa nchi.

Acha kabisa kusema eti serikali inaweza kupanga na kudhibiti bei vile itakavyo, huo utakua sio uchumi huria, hivi kwanini hushangai bei ya Diesel na Petrol Kenya IPO juu kuliko nchi zote za EAC, moja ya sababu ni kwamba serikali yenu imeachia private sector kufanya kila kitu katika ununuzi, usafirishaji na usambazaji.

Tanzania serikali inasaidiana na private sector katika kutafuta wapi kunapatikana Diesel na Petrol kwa bei nafuu huko nje, then serikali wanasaidia yasafirishwe in bulk, sio kila importer asafirishe kivyakevyake, mwisho yanafika Tanzania yakiwa na bei ndogo.
 
Leo privatisation(hakuna kampuni itauzwa kwa asilimia mia) kwa yeyote mwenye nia inamaanisha kuwauzia wachina? Mmmh! Huyu huyu mleta mada ndiye aliyetuletea video ya mnigeria akimzaba mfilipino kofi kule uarabuni kisha akatuambia ni mkenya anamzaba mchina kofi maeneo ya Nairobi. Baadhi ya hawa jirani zetu wakichoka kujadili za Mobetto na Dayamondi Instagram huwa wanazurura zurura ovyo ovyo kwenye mitandao ya kikenya alafu wanapachika upuuzi humu bila hata kujiongeza kidogo. Enzi za great thinkers ziliisha na utawala wa Kikwete.
 
danganyikas mnapenda kujipa stress, ulcers & sleepless nights na mambo ya Kenya.

Parastatals are things of the past, kama vile Nyerere wenu ali nationalize all companies....baadaye mliona vile umaskini ulifuata kwa taratibu 😂😂

So don’t come here with upuzi.
2nd, selling is not instant, & it’s not 100% sell-off!. The process is long & has legal procedures and it barely means the gov will sell a portion of the company, example kama vile the gov sold Kenya airways it retained considerable shares.

The motive of selling state corporations is to remove bureaucracy & increase efficiency. Investors wataleta new views, new management and focus on generating revenue. Parastatals are like pests feeding off the government.

EDITORIAL: Parastatals lose billions, state should sell more
 
Lol. You don't even know your own country.

National Bank of Commerce
National Insurance Corporation (NIC)
Air Tanzania Company Ltd (ATCL)
Tanzania Telecommunication Company Ltd (TTCL)

Hayo ni baadhi ya makampuni 200+ ambayo serikali yenu imefanya wholly or partial privatization.
Teeeeeeheeeeee!! hiv ni kuite tu jibwa ati serikali yetu imefanyaje.....hahahaha jamani kujeni muone pumba za huyu nyani.
 
Lol. You don't even know your own country.

National Bank of Commerce
National Insurance Corporation (NIC)
Air Tanzania Company Ltd (ATCL)
Tanzania Telecommunication Company Ltd (TTCL)

Hayo ni baadhi ya makampuni 200+ ambayo serikali yenu imefanya wholly or partial privatization.
Out of those only NBC is privatised, TTCL, ATCL are back to GoT. Whereas NIC has never been privatized!
 
By the way, ni nchi LDC tu kama Tanzania unapopata kila kitu kinaendeshwa na serikali.

Nchi zilizo endelea kama US, Japan, UK etc, zilifanya privatization ya karibu kila kitu.

Airlines, Trains, garbage, Airports, electricity, ports etc.. zote ziko in private hands, for profit.
Na ndio maana things run efficiently in those countries.

Isikushangaze kwamba the famous Heathrow Airport is privately owned.
Kweli? China nayo ni LDC? Embu google COSCO na SINOPEC kwanza kwa kuanzia
 
Privatisation merits are more than demerits so it's worth taking the risk. Mwenye akili timamu anaweza elewa hili
 
Kweli? China nayo ni LDC? Embu google COSCO na SINOPEC kwanza kwa kuanzia

So you will go picking all the big companies you can think of to prove your point. China operates on its own unique rules.

Fact is 99% of government managed companies in the world end up as failures or lag behind private companies.
 
Back
Top Bottom