Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China

Nakuonea sana huruma kwa namna unavyo fikili
 
Achana nae abaki na huo upumbavu wake. IQ yake ipo chini sana
 

1. Number 1 motive ya kuuza ni better management, na freeing up non-performing government shares. Maneno ya pesa za bajeti ni secondary. Process ilianza kitambo, na hata kama zingeuzwa 2008, bado mngesema ni pesa ya bajeti inatafutwa.

2. Sijui kwenye umetoa figure ya 80%, lakini nadhani ulitaka kusema kwamba 80% ya umeme Kenya huzalishwa na KenGen.
Haya makampuni mengine madogo yanazalisha 20%.
Ambacho haujui ni kwamba kwa hii KenGen, serikali iko na shares za 70% sasa hivi, wala si 100%.
Wanataka sasa kupunguza hizo shares, hopefully wauze majority.

Na serikali ina uwezo wa kuregulate industry yoyote, iwe kwenye mikono binafsi au ya serikali.
ERC ya Kenya huregulate mambo yote ya Energy, na ndio maana hata uende petrol station gani, bei ya mafuta ni ile ile.

Privatization policy yenu ya Mkapa labda haikuwa well thought out. Mlichofanya makosa nyinyi ndio mnajua.
Lakini ukweli ni kwamba, majority ya privatized companies huwa zikawa better.

Hii ndio PDF iliyotolewa na Privatization Commision of Kenya.
Soma objectives za privatization ya kila kampuni. Mingi hata shares zitauzwa, na pesa ikuwa re-invested kwa hio kampuni bado, wala sio bajeti kama unavyodai.



 
Can you say the same thing to the Chinese and India?? Who owns Boeing and Airbus companies ??

Both Airbus and Boeing are traded on public stock exchanges. Hata wewe ukitaka kununua shares unaweza.

Airbus shareholders.



Boeing shareholders.
 
Kwa hiyo hao wakenya wa gazeti la standard, na media zote za Kenya pamoja na wasomi wote wanaosema lengo la kuuza kwa sasa ni ili kupata pesa za bajeti hawajui kitu wewe ndio unajua kila kitu?.

Mbona serikali isiwachie private sector kujenga SGR kama unahisi serikali haiwezi kuendesha mashirika kwa faida?. Unadhani mashirika yote yanayobinafsishwa yanatengeneza faida?, mbona KQ inatengeneza hasara, Kirubi anajuta kuwekeza pesa yake KQ, reli yenu ya zamani mbona mlibinafsisha lakini hali ni mbaya zaidi?.

80% ya UMEME wa Kenya huzalishwa na KenGen, ambapo serikali inamiliki 70% ya share, hii maana yake serikali ndiyo yenye maamuzi ya mwisho kuhusu bei ya UMEME kwa wananchi, ni hatari sana serikali kupoteza huo uwezo wa kuamua bei ya UMEME kwa wananchi. Mkiendelea kupunguza huo uwezo wa maamuzi mtapoteza nguvu ya kupanga bei, kumbuka UMEME ni engine ya uchumi wa nchi.

Acha kabisa kusema eti serikali inaweza kupanga na kudhibiti bei vile itakavyo, huo utakua sio uchumi huria, hivi kwanini hushangai bei ya Diesel na Petrol Kenya IPO juu kuliko nchi zote za EAC, moja ya sababu ni kwamba serikali yenu imeachia private sector kufanya kila kitu katika ununuzi, usafirishaji na usambazaji.

Tanzania serikali inasaidiana na private sector katika kutafuta wapi kunapatikana Diesel na Petrol kwa bei nafuu huko nje, then serikali wanasaidia yasafirishwe in bulk, sio kila importer asafirishe kivyakevyake, mwisho yanafika Tanzania yakiwa na bei ndogo.
 
Leo privatisation(hakuna kampuni itauzwa kwa asilimia mia) kwa yeyote mwenye nia inamaanisha kuwauzia wachina? Mmmh! Huyu huyu mleta mada ndiye aliyetuletea video ya mnigeria akimzaba mfilipino kofi kule uarabuni kisha akatuambia ni mkenya anamzaba mchina kofi maeneo ya Nairobi. Baadhi ya hawa jirani zetu wakichoka kujadili za Mobetto na Dayamondi Instagram huwa wanazurura zurura ovyo ovyo kwenye mitandao ya kikenya alafu wanapachika upuuzi humu bila hata kujiongeza kidogo. Enzi za great thinkers ziliisha na utawala wa Kikwete.
 
danganyikas mnapenda kujipa stress, ulcers & sleepless nights na mambo ya Kenya.

Parastatals are things of the past, kama vile Nyerere wenu ali nationalize all companies....baadaye mliona vile umaskini ulifuata kwa taratibu πŸ˜‚πŸ˜‚

So don’t come here with upuzi.
2nd, selling is not instant, & it’s not 100% sell-off!. The process is long & has legal procedures and it barely means the gov will sell a portion of the company, example kama vile the gov sold Kenya airways it retained considerable shares.

The motive of selling state corporations is to remove bureaucracy & increase efficiency. Investors wataleta new views, new management and focus on generating revenue. Parastatals are like pests feeding off the government.

EDITORIAL: Parastatals lose billions, state should sell more
 
Teeeeeeheeeeee!! hiv ni kuite tu jibwa ati serikali yetu imefanyaje.....hahahaha jamani kujeni muone pumba za huyu nyani.
 
Out of those only NBC is privatised, TTCL, ATCL are back to GoT. Whereas NIC has never been privatized!
 
Kweli? China nayo ni LDC? Embu google COSCO na SINOPEC kwanza kwa kuanzia
 
Privatisation merits are more than demerits so it's worth taking the risk. Mwenye akili timamu anaweza elewa hili
 
Kweli? China nayo ni LDC? Embu google COSCO na SINOPEC kwanza kwa kuanzia

So you will go picking all the big companies you can think of to prove your point. China operates on its own unique rules.

Fact is 99% of government managed companies in the world end up as failures or lag behind private companies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…